Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Hichi ni kiherehere!
  • karibu ndugu Prince Hope kwenye hili jukwaa la Tech, Gadgets & Science
  • Sababu Ni mala yako ya kwanza ku comment kwenye hili jukwaa. (Nimetumia 10min kukusoma katika post zako kwenye majukwaa mengine)
  • Kwenye Hili jukwaa huwa tunakosoana na kuelekezana kwa nia njema ya kubadilishana maalifa- sababu hakuna mtu ajuaye kila kitu.
  • Je hii comment yako imemsaidia vipi muuliza swali?. Target mada na siyo mtu/mchangiaji
Karibu.
 
Last edited by a moderator:
torrent ni jinsi ya kudownload files kwa kutumia kitu kinaitwa P2P (peer to peer). P2P ni kuumanisha unacopy files kutoka kwenye computer za wenzako, yaani ziko saved kwa computer za washikaji (peers) tofauti na direct downloads ambazo zinatumia servers.

uko sahihi, pia speed yake inategemea idadi ya downloads ambazo watu wamedownload na downloads zinazoendelea yaani seeds na reeches. hivo babu kama torrent ikitupiwa harafu ukawa we ndio wa kwanza kuidownload utakeshaaa
 
Jinsi ya kudownload movies kutumia Torrent:

MAHITAJI
  • U torrent au bit torrent amabayo unaweza ukagoogle alf ukainstall kwenye mashine yako au download from here : Download - BitTorrent® - Delivering the World's Content
  • Modem na kifurushi cha uhakika, maana utakuta mtu mwingine ana mb50 afu anataka kushusha movie, mim huwa natumia kile cha voda night kuanzia saa nne jero tu.
1. Ukisha download, hiyo bit torrent, install kwenye pc … the ifungue itaonekana hivi
View attachment 114389

2. Ili kudownload movie, nenda kwenye hii website
Download Torrents. Fast and Free Torrent Downloads - KickassTorrents au andika www.kickasstorrents.com

View attachment 114388

Ukishaipata movie unayoitaka,, unaweza soma comment ili ucje download movie yenye virus,, chek ukubwa wake, muda iliyowekwa hapo kwenye age, pia seed na leech ni watu ambao wanadownload muda huo na ambao tayar wameshamaliza kudownload.

3. Ukisha click na kufungua movie uliyoisearch itakuja hvi, click hapo juu kwny alama kama n kudownload kutumia magnetic link ndio rahic
View attachment 114387

4. Itakuja hivi, chagua sehemu ya kusave n click ok. Now it's done movie itaanza kujidownload.
View attachment 114386
 
Asante mkuu. Ninahitaji sana ku-download movie for free maana ni hobby ku-watch movie.
 
Wiki ya pili sasa antvirus ya computer yangu haionyeshi interface yaani kila nikijaribu ku update inashindikana na inanipa ujumbe mfc110.u dll files wanted. Na kingine idm yangu iki download movie haionyeshi mpaka ni convet na haina sauti naomba msaada please.
 
wiki ya pili sasa antvirus ya computer yangu haionyeshi interface yaani kila nikijaribu ku update inashindikana na inanipa ujumbe mfc110.u dll files wanted. na kingine idm yangu iki download movie haionyeshi mpaka ni convet na haina sauti naomba msaada please

Ebu jaribu kuremove and install tena hyo antivirus then update tuone n kuhusu movie cjui unadownload wap, ebu jarbu hzo steps nlizoonesha hapo juu. Ukikwama nichek.
 
Ebu jaribu kuremove and install tena hyo antivirus then update tuone n kuhusu movie cjui unadownload wap, ebu jarbu hzo steps nlizoonesha hapo juu. Ukikwama nichek
Nimejaribu ku-unistall imegoma inaniletea sms ya debug progam nikiruhurusu inafungua progam ya visual basic.
 
By josaya<br />
wiki ya pili sasa antvirus ya computer yangu haionyeshi interface yaani kila nikijaribu ku update inashindikana na inanipa ujumbe mfc110.u dll files wanted. na kingine idm yangu iki download movie haionyeshi mpaka ni convet na haina sauti naomba msaada please
<br />
<br />
Ebu jaribu kuremove and install tena hyo antivirus then update tuone n kuhusu movie cjui unadownload wap,, ebu jarbu hzo steps nlizoonesha hapo juu.. Ukikwama nichek
Bro Mungu na akuzidishie umri ka N. mandela,jpil njema
 
nimejaribu ku unistall imegoma inaniletea sms ya debug progam nikiruhurusu inafungua progam ya visual basic

Daaah hapo mkuu sina utaalamu sana, subiri wajuzI wa mambo waje.
 
Jaribu ku repail hyo windo yako.seemz kuna kavirus kametafuna file la window ndo mana inakataa.ishawah kunitokea na nilifanya hvo mambo yakawa fresh.
 
Au kwa njia nyingine(baada ya step zilizowekwa hapo juu) fungua google then andika jina la movie afu malizia na torrent mfano movie yetu iitwayo "lordville" kwenye google utaandika "lordville torrent" hii njia itakuletea links mbali mbali ambazo utaweza pata hii movie!

NB: Kabla huja download chochote angalia hiki kitu "leechers" "na "seeders" kama leechers na seeders wakiwa wengi hii movie ita download kwa spidi nzuri ukilinganisha na ile yenye leechers na seeders wachache!
 
au kwa njia nyingine(baada ya step zilizowekwa hapo juu) fungua google then andika jina la movie afu malizia na torrent mfano movie yetu iitwayo "lordville" kwenye google utaandika "lordville torrent" hii njia itakuletea links mbali mbali ambazo utaweza pata hii movie!

NB: Kabla huja download chochote angalia hiki kitu "leechers" "na "seeders" kama leechers na seeders wakiwa wengi hii movie ita download kwa spidi nzuri ukilinganisha na ile yenye leechers na seeders wachache!!!!

Poa poa mkuu, umesomeka.
 
au kwa njia nyingine(baada ya step zilizowekwa hapo juu) fungua google then andika jina la movie afu malizia na torrent mfano movie yetu iitwayo "lordville" kwenye google utaandika "lordville torrent" hii njia itakuletea links mbali mbali ambazo utaweza pata hii movie!!!
NB: Kabla huja download chochote angalia hiki kitu "leechers" "na "seeders" kama leechers na seeders wakiwa wengi hii movie ita download kwa spidi nzuri ukilinganisha na ile yenye leechers na seeders wachache!!!!
  • Ili kurahisisha kwa upataji wa torrent bora yenye seeders wengi, napendekeza hii search engine ya torrent.
  • Inapanga ikianza na torrent yenye seeders wengi juu , Pia ina seach torrent file kwenye site zaidi ya Moja
    Code:
    [url=http://bitcq.com/]BitCQ - light and possibly the fastest search engine[/url]
 
  • Pia Waweza download torents kwa kutumia IDM,Speed kwa IDM huwa ni kubwa ukilinganisha na Torrent client.
  • Ili kubadili torrent file na kuwa direct link na ukatumia IDM pitia huu uzi nimechambua baadhi ya site bora.
    Code:
    [URL]https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/512043-update-how-to-convert-torrent-to-direct-http-link.html[/URL]
&#8203;Karibu
 
Back
Top Bottom