donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Unaweza kuangalia pia online?
No mkuu, ni for downloads!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuangalia pia online?
Wakuu hawa jamaa wa: www.yify-torrents.com wako poa sana katika maswala mazima ya muvi. Yaan wana muvi za kutosha na pia muvi zao wameziminya kiasi kwamba una weza kudownload muvi ya quality ya 720p kwa 700MB tu. Sio siri jamaa wako poa, kama ni muvi fan si mbaya ukawachek!
Ebana eeeeh, hatari!
Naweza download kupitia iPad Yangu
Kwann aisee mbona kawaida mkuu
Unaweza kuangalia pia online?
Pamoja kitambo mkuu. Nashusha Gallowwalkers hapa.
Piga ua galagaza. Haupo Bongo.
Kwetu Speed ya net ni: 250kb/week. YouTube clip ya dakika 5 unaangalia masaa. Na haiishi, coz bundle lishakata.
Piga ua galagaza. Haupo Bongo.
Kwetu Speed ya net ni: 250kb/week. YouTube clip ya dakika 5 unaangalia masaa. Na haiishi, coz bundle lishakata.
kat.ph nayo ipo vizuri, ina muvi latest na za zamani, speed yake iko pouwa kabisa unahitaji tu uwe na u-torrent
Unaweza kuangalia pia online?
bado watu wanatumia utorrent. hata siikumbuki.
Nipeni ujanja wa kudownload!! Kuna site ya tvleaks.com kuna series kibao nimeshindwa kudownload. Nimeinstall software ya ilivid lakini ni kazi bure!!!
Nitumie software gani wakuu?
Na pc yangu inabidi iwe na vitu gani?
Movies za youtube nazdownload bila shida...
Mkuu mi niko bongo ila sina speed ya kobe kiasi hiko!