Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,412
hhaahah umenifurahisha sana mkuu wewe unatumia nini bit torrent,au z big z kushushia?? Au torent client ipi,old is gold mkuu nitaipa respect u torrent mpk nadead....
vuze ndio my favorite kwa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hhaahah umenifurahisha sana mkuu wewe unatumia nini bit torrent,au z big z kushushia?? Au torent client ipi,old is gold mkuu nitaipa respect u torrent mpk nadead....
hivi simu za android zinaweza kupakuwa movie?Wakuu hawa jamaa wa: www.yify-torrents.com wako poa sana katika maswala mazima ya muvi. Yaan wana muvi za kutosha na pia muvi zao wameziminya kiasi kwamba una weza kudownload muvi ya quality ya 720p kwa 700MB tu. Sio siri jamaa wako poa, kama ni muvi fan si mbaya ukawachek!
hivi wewe inamaanisha siku hizi huchezi tena nfs world ukanishtua nikakufundisha jinsi gani ya kuendesha gari??? Na vipi ule mpango wetu wa kukufundisha jinsi ya kucheza fifa 14 au yalikuwa ni maneno mengi tu yamekula vitendo.
Hapa napunjwa,nataka kuidownload na kuinstall..nifanyeje?
Afu pia antvirus(ESET NOD32 Antivirus) nayo imekua outdated(license expired)...natakiwa kufanyaje?
Cc Young Master
hivi simu za android zinaweza kupakuwa movie?
Jamani ebu naomba mnisaidie jinsi ya kudownload games matharan fifa 13 au 14 nafanyaje?
Don tayari ninayo u torrent nilishadowload kitambo,au mpaka nidownload iyo bitcomet?
Kama unayo mbona basi burudani? Ingia kwenye torrent site yoyote unasearch tu kitu unachotaka unadownload. Kwa mfano: kat.ph, torrentz.eu, torrenthound.com etc. Sema si unajua mambo ya seeders na ma leechers?
Daaah apo kwa seeders na leechers umeniacha,ebu nifafanulie mzazi
yap yap,hapo nimekupata mzazi yaan umenipa darass huru kabisaaaa, thanks muchSeeders ni watu ambao ndio wanashare hilo file kwa wakati huo na leechers ni watu ambao wanadownload hilo file kwa wakati huo. Kwa maana hiyo basi unapotaka kudownload ni vyema kuangalia file (torrent) ambayo ina seeders wengi na leechers kidogo. File likiwa lina seeders wachache itakugharimu muda mrefu sana mpaka umalize kudownload lakini kama lina seeders wakutosha basi hapo mambo yatakua bien provided pia net yako ina speed ya maana!
Thanks i have been looking for these issues bila kuchoka im glad u dd it for us....Wakuu hawa jamaa wa: Home - YIFY Torrents wako poa sana katika maswala mazima ya muvi. Yaan wana muvi za kutosha na pia muvi zao wameziminya kiasi kwamba una weza kudownload muvi ya quality ya 720p kwa 700MB tu. Sio siri jamaa wako poa, kama ni muvi fan si mbaya ukawachek!
yap yap,hapo nimekupata mzazi yaan umenipa darass huru kabisaaaa, thanks much
Thanks i have been looking for these issues bila kuchoka im glad u dd it for us....
Wakuu hawa jamaa wa: Home - YIFY Torrents wako poa sana katika maswala mazima ya muvi. Yaan wana muvi za kutosha na pia muvi zao wameziminya kiasi kwamba una weza kudownload muvi ya quality ya 720p kwa 700MB tu. Sio siri jamaa wako poa, kama ni muvi fan si mbaya ukawachek!
Hebu nitoe ushamba ndugu yangu,,,,,,,,,,sielewi lolote kuhusu haya mambo ya torrents, ninayo hiyo u torrent katika laptop yangu lakini ni mauzauza tu nayaona, na sijui namna ya kudownload. Na nikiingia hapo katika hiyo uliyotuwekea ndio napotea kabisa.....