Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimejaribu..kufika apo magnet link imegoma..na inanitaka ntumie dmanager yao. Ama nmekosea kitu.
Je kama nataka kuwatch tuu bila download, do u have a free site for that ambayo hawaitaji sign up
Swtshttps://www.jamiiforums.com/member.php?u=69726 Au hauja install hyo app ya torrent? coz ukishaintall hiyo the ukiclick hapo kweny magnet link inakupeleka moja kwa moja kweny torent na kuanza kudownload, au fanya hivii copy hyo magnet link url afu nenda kapest kwny bit torrentnimejaribu..kufika apo magnet link imegoma..na inanitaka ntumie dmanager yao. Ama nmekosea kitu.
Je kama nataka kuwatch tuu bila download, do u have a free site for that ambayo hawaitaji sign up
Okay mydear, il do that. Ngoja najaribuSwts
au hauja install hyo app ya torrent? coz ukishaintall hiyo the ukiclick hapo kweny magnet link inakupeleka moja kwa moja kweny torent na kuanza kudownload, au fanya hivii copy hyo magnet link url afu nenda kapest kwny bit torrent
ohhh gotcha! thanxKama uko nje ya US ni sawa, but if you are in the US then be careful
Wakuu hawa jamaa wa: Home - YIFY Torrents wako poa sana katika maswala mazima ya muvi. Yaan wana muvi za kutosha na pia muvi zao wameziminya kiasi kwamba una weza kudownload muvi ya quality ya 720p kwa 700MB tu. Sio siri jamaa wako poa, kama ni muvi fan si mbaya ukawachek!
piratebay.sx
My favorite yify jamaa quality na speed.
My favorite yify jamaa quality na speed.
Kumbe tuko pamoja mkuu. Nilijua ni mimi peke yangu nimerogwa na YIFY.
Kumbe tuko pamoja mkuu. Nilijua ni mimi peke yangu nimerogwa na YIFY.
​
- Ila baadhi ya movies juwa na seeders wachache hivyo huchukua muda kukamilisha download.
- Kwa mimi huwa natumia hii torrent search engine
na movies the quality huwa nazipata kwa kuongeza neno DVDrip , au 720p, au BRRIP mbele ya jina la movie niitakayoCode:piratebay.sx
wakuu hawa jamaa wa: home - yify torrents wako poa sana katika maswala mazima ya muvi. Yaan wana muvi za kutosha na pia muvi zao wameziminya kiasi kwamba una weza kudownload muvi ya quality ya 720p kwa 700mb tu. Sio siri jamaa wako poa, kama ni muvi fan si mbaya ukawachek!
my favorite yify jamaa quality na speed.
​
- ila baadhi ya movies juwa na seeders wachache hivyo huchukua muda kukamilisha download.
- kwa mimi huwa natumia hii torrent search engine
na movies the quality huwa nazipata kwa kuongeza neno dvdrip , au 720p, au brrip mbele ya jina la movie niitakayoCode:piratebay.sx
kumbe tuko pamoja mkuu. Nilijua ni mimi peke yangu nimerogwa na yify.
kweli mkuu, saafi!
yaaan nshashusha muvi 7 hapa af nna viporo kama kumi hivi!


Wakuu hawa jamaa wa: www.yify-torrents.com wako poa sana katika maswala mazima ya muvi. Yaan wana muvi za kutosha na pia muvi zao wameziminya kiasi kwamba una weza kudownload muvi ya quality ya 720p kwa 700MB tu. Sio siri jamaa wako poa, kama ni muvi fan si mbaya ukawachek!
thanks sana ntaanza itumia coz nlikuwa nadownload kwa links zisizoeleweka napata file kuubwa ukifungua quality inakata stimu kuwatch imagine mpk leo sijaangalia skyfall, white house down coz nmenunua kidogo nilie nikaenda kwa torrents nikapat za 1.5gb nikakaaa 4 days nazingojea nikaja kukaa kuangalia owsh kwality sijui jamaa walirekod theater. Ntazitafuta tena kwa link hii!