Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Hichi ni kiherehere!
- karibu ndugu Prince Hope kwenye hili jukwaa la Tech, Gadgets & Science
- Sababu Ni mala yako ya kwanza ku comment kwenye hili jukwaa. (Nimetumia 10min kukusoma katika post zako kwenye majukwaa mengine)
- Kwenye Hili jukwaa huwa tunakosoana na kuelekezana kwa nia njema ya kubadilishana maalifa- sababu hakuna mtu ajuaye kila kitu.
- Je hii comment yako imemsaidia vipi muuliza swali?. Target mada na siyo mtu/mchangiaji
Last edited by a moderator: