Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Naona link inakataa mkuu, ila www.mycoolmoviez.net umeshaitumia mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huu ni mfano wa muvi niliyodownload kwenye mycoolmoviez.net ambayo ni quality nzuri kabisa na still iko katika less than 250Mbs, hii site wanacompress muvi zao into smaller size lakini ubora haupotei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hebu iplay kwenye laptop full screen au kwenye flat tv yoyote ile then utajua ni quality nzuri ama la,

hakuna 3GP yenye quality kubwa, wewe unaona quality sababu unaangalizia kwenye simu ambayo pengine kioo chake ni resolution ndogo.
 
ha ha ha.. mdada umevutiwa hasa.... unatamana jamaa angekuwa hajaoa uwe naye karibu? anyway ni kusoma na kujishughulisha na pia kuondoa roho mbaya.
Wee jamaa Chief-Mkwawa natamani nikukate hiko kichwa nikibandike kwangu dah...!.

Au hata ningeweza kukitoa photocopy aisee ningefanya hivyo mkuu, najivunia sana uwepo wako ndani ya JF.

MUNGU AKUPE MAISHA MAREF SANA MKUU.

THANKS A LOT BROH.
 
hii hapa

hivyo unaona mkuu hapo upana na urefu wa hio video sio HD wala bluray,

hd inakuwa ni 1280x720 yako ni 640x480
Chief naomba nisaidie wapi naweza pata hizi fats and furious 8 isiwe mb kubwa sana atleast mp4 kwenda juu maana na hii intothe badland maana nimejarbu o2tvseriez nikiplay haziplay after kupakua
 
sijatumia ila nimeingia ni movie za 3GP. hakuna bluray hapo sana sana ni 240p,

tumia tu videorder download movie za 360p zitakuwa na quality kushinda hizo.

Nisaidie mkuu nipakue movie kwenye hii videorder ya fast and furious 8 na intothe badland kwa version hyo maan si mdau wa kupakua ma movie yale ma gb na mb nyingi
 
Kwa videorder fungua tu videorder kisha chagua fmovies au 123movies kisha search kitatokea ki button chekundu kibonyeze chagua quality ndogo yenye mb chache.
 
Kwa videorder fungua tu videorder kisha chagua fmovies au 123movies kisha search kitatokea ki button chekundu kibonyeze chagua quality ndogo yenye mb chache
Kwa kutumia browser ucbrowser imenipeleka youtube mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…