Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Mkuu tor ni network ya proxies, unapotembelea website ile request yako inapitishwa kwenye proxy nyingiii hadi kuja kuipata. hivyo inakuwa ngumu kwa mwenye site au isp kujua identity yako, ni ngumu kujulikana ila sio 100% proof kwamba hutajulikana, hasa kama proxy zinazotumika ni zile zile kila siku, watazizoea tu.
Unaweza fake location hata hivyo na proxy si kila siku hizo hizo nimeshaona zinachange kila utakapozama kwa browser yako

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
ukiingia hapo kila ki2 utapata ngoja ni upload na home page yao niliyoi pdf

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
hii ni hidden wiki home page nilii pdf ili niweze isoma offline

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Attachments

nadhani mtafuatilia sasa hapo

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
unaweza fake location hata hivyo na proxy si kila siku hizo hizo nimeshaona zinachange kila utakapozama kwa browser yako

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
kwa kutumia browser yako huwezi jua, mfano tor wana proxy 10,000 si rahisi kuzijua wewe kwa kutumia browser tu sababu ni nyingi sana maisha yako yote unaweza usizitumie zote.

ila kwa watu kama FBI wanaotap kwenye isp kwa siku wanaweza wakaziona zote.
 
Huawei yII pro, nahitaji hd au hdrip, movie hua na download ambazo ziko compressed atleast 300 z mBs

Sent using Jamii Forums mobile app

mkuu kikawaida huwa movie za HD hazifiki huko ni around mb 600 mpaka 900 hivi tegemea na urefu wa movie,

mtu anaweza tu kukudanganya movie ya 240p au 360p akakwambia ni HD,

ipo compression mpya inaitwa x265 aka HEVC movie zake ni ndogo ukipata encoder mzuri anaweza ifikisha huko lakini simu yako inaweza isicheze.

test movie moja hapa uone kama itaplay.

http://dl.my-film.in/Movie/BluRay 720p-x265

mfano hio batman ni mb 250 tu bluray 720p
 
ipo player ambayo inaplay any video format na inayo encorder zake kwa ndani ni my best kwa kweli inakwenda kwa jina la mxplayer nadhani unaipata mkuu mkwawa

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
ipo player ambayo inaplay any video format na inayo encorder zake kwa ndani ni my best kwa kweli inakwenda kwa jina la mxplayer nadhani unaipata mkuu mkwawa

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
mx player inatumia specs zako za ndani, mfano kama gpu yako haikubali x265 hata udownload app gani haitacheza hio video.

hapo unabakiwa na option ya software encoding, ambayo inatumia sana cpu, kama cpu yako haina nguvu vile vile haitacheza.

na hizo x265 pia zipo tofauti tofauti mfano x265 10bit ni cpu/gpu chache sana zinazoweza kuplay,
 
nimeingia hiyo link hebu unaweza weka link ambayo itanilink kwa home page ya hiyo website?

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
anhaaaaa nimeitwik kidogo imeniletea home page mkuu

homepage yake haina maana zinakuwa ni za ki iran most of time,

tumia hizo 3 dots juu kurudi nyuma ili uwe ndani ya file manager au neno parent directory
 
Back
Top Bottom