Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Ndio hata mimi nasubiria majibu hapo juu, sijawahi sikia hiki kitu.Ila sijawah kutana na deepsite za movie wala software. Je, ni kweli kuna hilo jambo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hata mimi nasubiria majibu hapo juu, sijawahi sikia hiki kitu.Ila sijawah kutana na deepsite za movie wala software. Je, ni kweli kuna hilo jambo?
Sent using Jamii Forums mobile app
K ngoja nizilistEka mfano wa link ya movie ya hio "deepweb"
Nimeshawahi skia hii ki2 ila sijafuatilia kwa undani sanaaaaaIla ata ivo kuna tetesi kuwa tor browser sio safe washai patch u.s.a
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza fake location hata hivyo na proxy si kila siku hizo hizo nimeshaona zinachange kila utakapozama kwa browser yakoMkuu tor ni network ya proxies, unapotembelea website ile request yako inapitishwa kwenye proxy nyingiii hadi kuja kuipata. hivyo inakuwa ngumu kwa mwenye site au isp kujua identity yako, ni ngumu kujulikana ila sio 100% proof kwamba hutajulikana, hasa kama proxy zinazotumika ni zile zile kila siku, watazizoea tu.
zipo ukitaka uzipate piti hidden wiki wao wanazo links mbali mbali kwenye site yaoIla sijawah kutana na deepsite za movie wala software ...je ni kweli kuna hilo jambo?
Sent using Jamii Forums mobile app
hidden wiki link yao hii hapandio hata mimi nasubiria majibu hapo juu, sijawahi sikia hiki kitu.
Thanksnadhani mtafuatilia sasa hapo
sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
kwa kutumia browser yako huwezi jua, mfano tor wana proxy 10,000 si rahisi kuzijua wewe kwa kutumia browser tu sababu ni nyingi sana maisha yako yote unaweza usizitumie zote.unaweza fake location hata hivyo na proxy si kila siku hizo hizo nimeshaona zinachange kila utakapozama kwa browser yako
sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
Huawei yII pro, nahitaji hd au hdrip, movie hua na download ambazo ziko compressed atleast 300 z mBssimu gani? una expect quality gani? na movie iwe na mb kama ngapi?
maana wanaohost movie youtube unakuwa.na choice ya kuchagua quality mbali mbali.
Huawei yII pro, nahitaji hd au hdrip, movie hua na download ambazo ziko compressed atleast 300 z mBs
Sent using Jamii Forums mobile app
ipo player ambayo inaplay any video format na inayo encorder zake kwa ndani ni my best kwa kweli inakwenda kwa jina la mxplayer nadhani unaipata mkuu mkwawamkuu kikawaida huwa movie za HD hazifiki huko ni around mb 600 mpaka 900 hivi tegemea na urefu wa movie,
mtu anaweza tu kukudanganya movie ya 240p au 360p akakwambia ni HD,
ipo compression mpya inaitwa x265 aka HEVC movie zake ni ndogo ukipata encoder mzuri anaweza ifikisha huko lakini simu yako inaweza isicheze.
test movie moja hapa uone kama itaplay.
http://dl.my-film.in/Movie/BluRay 720p-x265
mfano hio batman ni mb 250 tu bluray 720p
mx player inatumia specs zako za ndani, mfano kama gpu yako haikubali x265 hata udownload app gani haitacheza hio video.ipo player ambayo inaplay any video format na inayo encorder zake kwa ndani ni my best kwa kweli inakwenda kwa jina la mxplayer nadhani unaipata mkuu mkwawa
sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
nimeingia hiyo link hebu unaweza weka link ambayo itanilink kwa home page ya hiyo website?mx player inatumia specs zako za ndani, mfano kama gpu yako haikubali x265 hata udownload app gani haitacheza hio video.
hapo unabakiwa na option ya software encoding, ambayo inatumia sana cpu, kama cpu yako haina nguvu vile vile haitacheza.
na hizo x265 pia zipo tofauti tofauti mfano x265 10bit ni cpu/gpu chache sana zinazoweza kuplay,
homepage yake haina maana zinakuwa ni za ki iran most of time,anhaaaaa nimeitwik kidogo imeniletea home page mkuu
sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app