Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

We jamaa unajifanya unajua kumbe hujui,unaweza niambia traffic anadaka wapi hapo?hata kama kuna site yake hapo si unatafuta unachokitaka halafu kaweka site zaidi ya 90.
Ama kweli Bongo bahati mbaya, bora umesema ww, mana watu wengine wana roho nyeusi ti.
 
We jamaa unajifanya unajua kumbe hujui,unaweza niambia traffic anadaka wapi hapo?hata kama kuna site yake hapo si unatafuta unachokitaka halafu kaweka site zaidi ya 90.
Kuna linki ipo kati kati pale ndugu huoni auuuu?
 
Kuna linki ipo kati kati pale ndugu huoni auuuu?
Hiyo link hapo kati ni website anayouza bidhaa zilizotafsiriwa(anauza).mtu kakuwekea website kibao za kudownload movie alafu kaweka ya kutafsiriwa kama utapenda tena unanua sio bure sasa aangaike na traffic yako ya nini?nyie ndo mnaiga comment kwasababu kuna mtu kaleta kiblog chake anakitangaza mmeona watu wanamwambia hivo na nyie mekariri kua kila anaeweka website anahitaji traffic.
 
Unakunywa kinywaji gani bos wangu?
Chukua nalipa mm,huu sasa uchawi yan link zingine hajacomplane ila ya kibongo tu ndo shida. [emoji23][emoji23][emoji23]ee Mungu tusaidie tuanchane na hizi roho mbaya
 
sorry lakini kwa ambao nitakua nime wa haribia mood....ila nataka kujua mana ni meona kuna baadhi ya sites zina hitaji malipo kwa mfano kuna series inauzwa 2500 na nikitoa na pesa ya Mb za kudownloadia ni kitu kama 3000 to 3500 ukiacha usumbufu wa mtandaokuwa slow na nikienda mlimani bei ni hiyo hiyo sasa sijaona msaada ya wa hizi sites za kulipia otherwise watafuta njia nyingine......ni maoni/mapendekezo/malalamiko......
 
Hizo zinazouzwa si zimetafsiriwa baba,huoni ambazo hazijatafsiriwa tena buree
 
[emoji106] [emoji106]
 
Mlimani city ni 3500 kumbe
 
Jamai raja tv show series ikiwa subtitle yake ya English 2naipata vipi
 
wewe kweli ni pimbi Kwahiyo ulitaka Nikusajilie kabisa au???
Website ni extratorrents na pirates bay basi. Huo upuuzi ulioweka wote ni kama uchafu tu! We site gani mpaka ujisajili waanze kukutumia ma spam emails kukujazia upuuzi tu.

Weka sites 3 zisizo na maupumbavu mengi ikiwemo kulazimishana kujisajili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…