Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

We jamaa unajifanya unajua kumbe hujui,unaweza niambia traffic anadaka wapi hapo?hata kama kuna site yake hapo si unatafuta unachokitaka halafu kaweka site zaidi ya 90.
Ama kweli Bongo bahati mbaya, bora umesema ww, mana watu wengine wana roho nyeusi ti.
 
We jamaa unajifanya unajua kumbe hujui,unaweza niambia traffic anadaka wapi hapo?hata kama kuna site yake hapo si unatafuta unachokitaka halafu kaweka site zaidi ya 90.
Kuna linki ipo kati kati pale ndugu huoni auuuu?
 
Kuna linki ipo kati kati pale ndugu huoni auuuu?
Hiyo link hapo kati ni website anayouza bidhaa zilizotafsiriwa(anauza).mtu kakuwekea website kibao za kudownload movie alafu kaweka ya kutafsiriwa kama utapenda tena unanua sio bure sasa aangaike na traffic yako ya nini?nyie ndo mnaiga comment kwasababu kuna mtu kaleta kiblog chake anakitangaza mmeona watu wanamwambia hivo na nyie mekariri kua kila anaeweka website anahitaji traffic.
 
Unakunywa kinywaji gani bos wangu?
Chukua nalipa mm,huu sasa uchawi yan link zingine hajacomplane ila ya kibongo tu ndo shida. [emoji23][emoji23][emoji23]ee Mungu tusaidie tuanchane na hizi roho mbaya
 
sorry lakini kwa ambao nitakua nime wa haribia mood....ila nataka kujua mana ni meona kuna baadhi ya sites zina hitaji malipo kwa mfano kuna series inauzwa 2500 na nikitoa na pesa ya Mb za kudownloadia ni kitu kama 3000 to 3500 ukiacha usumbufu wa mtandaokuwa slow na nikienda mlimani bei ni hiyo hiyo sasa sijaona msaada ya wa hizi sites za kulipia otherwise watafuta njia nyingine......ni maoni/mapendekezo/malalamiko......
 
Hizo zinazouzwa si zimetafsiriwa baba,huoni ambazo hazijatafsiriwa tena buree
 
d2ee6ddcfc3a1697ea4427092b1b2163.jpg

Mamb vp Wadau???
Leo Nataka niwasaidie baadhi ya watu ambao wanashida na kudownload movies Na series kupitia simu zao.

Kuna baadhi ya watu wanapata shida sana jinsi gani ya kudownload movies Na Series katika simu zao..,kwa sababu hawajui website gani zinafanya kazi hio ya kukusogezea Movie Na series karibu.

Sasa Hapa nimekuandalia List ya ya Website 100. Ambazo utaweza ku download Movies &Series Wakati wowote.

Nimeziweka katika Category Utaona hapo zipi zinahusu movies Na zipi series Nakadharika.

Pia usishangae wala kuduwaa kwa majina ya website hizo web ambazo majina yake Yanaanzia XX sio Mitandao ya Video za ngono Bali ni website za Movies usiogope.

Movies Na Series zote zilizo katika Website hizo zinatofautiana ukubwa kwahiyo Pambana na MB ulizonazo.

pia website zote hizo zina vitu vipya na Vya zamani so ukifika tafta utakacho utapata.

Jaribu kutembelea kila website ujionee ipi muhimu na ipi unataka.

KAMA UNAHITAJI SERIES NA MUVI ZILIZO TAFSILIWA INGIA HAPA Muvika Online : Download Korean Drama, Taiwanese Drama, Bollywood and Movies For Free

Natumai utafurahi mwenyewe Kazi kwako
Mchongo chini ya Website [emoji123] [emoji123] [emoji123]

MOVIES

1. hdmoviespoint.com
2. xmovies8.tv (si site ya ngono,hahaha)
3. naijaextra.com
4.moviesgraphy.com (highly recommended)
5. moviescounter.com
6. smokeymovie.org
7. besthdmovies.com
8.hdmoviespoint.biz (highly recommended)
9. hdpopcorns.com
10. movietubenow.com
11. quikrmovies.com
12. putlockers-movie
13. dailymoviez.xyz
14. fmovies.to
15. worldfree4u.cc
16. 300mbmovies4u.net
17. divxcrawler.tv
18. hdmoviesmp4.org
19. ganool.de
20. mp4times.com
21. mydownloadtube.com
22. freemovieswatch.com
23. housemovie.to
24. gingle.in
25. moviewatcher.to
26. movieflixter.to
27. urgrove.com
28. tubeplus.is
29. cartoonhd.website
30. oceanofmoviez.com
31. movies-2015.com
32. watchonlinemoviesfree.info
33. memoryonfilm.blogspot.com
34. loadmovie.biz
35. film21gratis.net
36. filmxy.com
37. filocker.com
38. downloadmaniak.com
39. freedownloadmovies.info
40. hdmovies.com.pk
41. downloadmania.xyz
42. moviescounter.com
43. movies-online-pro.com
44. . hdmovieswatch.net
46. movizonline.com
47. neverdownload.com
48. putlocker.is
49. ddmkv.me
50. youtube.com
51. glintmovies.overblog.com
52. wootly.ch
53. mycinemas.co
54. fzmovies.net
55. Netflix (recommended - paid service after trial period though)
56. Hulu
57.mp4mania.com

TV SHOWS / SERIES

58. o2tvseries.com (recommended)
59. mobiletvshows.net
60. waptvseries.net
61. toptvshows.me
62. Mobiletvshows.net
63. Mobtvseries.net

NOLLYWOOD
64. naijapals.com/video (recommended)
65. nollywoodfilmz.com
66. ibakatv.com (recommended - paid services though)
67. irokotv.com (recommended - paid services though)

ANIME

68. kissanime.to
69. animehaven.org
70. masterani.me
71. disneyjunior.disney.com/video (recommended)
72. toonjet.com
73. cartoonson.com

ASIAN/KOREAN Drama

74. gooddrama.net
75. epdrama.com
76. sugoideas.com
77. yodrama.com
78. dramasub.com
79. koreandrama.org
80. alodrama.com
81. viki.com
82. dramafans.org
83. dramafever.com
84. doramax264.com
85. 300mbfilms.co
86. moviemp4.net
87. todaytvseries.com
88. tvshows4mobile.com
89. toxicwap.com
90. zinkhd.com
[emoji106] [emoji106]
 
sorry lakini kwa ambao nitakua nime wa haribia mood....ila nataka kujua mana ni meona kuna baadhi ya sites zina hitaji malipo kwa mfano kuna series inauzwa 2500 na nikitoa na pesa ya Mb za kudownloadia ni kitu kama 3000 to 3500 ukiacha usumbufu wa mtandaokuwa slow na nikienda mlimani bei ni hiyo hiyo sasa sijaona msaada ya wa hizi sites za kulipia otherwise watafuta njia nyingine......ni maoni/mapendekezo/malalamiko......
Mlimani city ni 3500 kumbe
 
Jamai raja tv show series ikiwa subtitle yake ya English 2naipata vipi
 
wewe kweli ni pimbi Kwahiyo ulitaka Nikusajilie kabisa au???
Website ni extratorrents na pirates bay basi. Huo upuuzi ulioweka wote ni kama uchafu tu! We site gani mpaka ujisajili waanze kukutumia ma spam emails kukujazia upuuzi tu.

Weka sites 3 zisizo na maupumbavu mengi ikiwemo kulazimishana kujisajili
 
Back
Top Bottom