Massawe909
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 310
- 469
Hata mm nawatumia hawa jamaaa wako poa pia wana choice kibao za mbHawa jamaa wamekuja kumfunika hadi show box wako vizuri sana asee quality safi Mb chache show box tatizo lake Mb nyingi sana maana huwa mala nyingi wanatumia torrent sites.
Kuna hii website ambayo Mimi napenda kutumia pia aina complications nyingi inaitwa EZTV ni nzuri kwa kudownloads series na ni very updated so naipendekezaKuna aina mbalimbali za kudownload mafile kama kutumia torrents, kutumia file sharing sites kama mediafire, ku-capture video za online nk lakini aina zote hizo hazifikii kudownload file direct. Nikisema direct namaanisha ukiclick tu file linaanza kudownload bila msaada wa software yoyote au kusubiri.
Njia hii pia ni maarufu kwa wale wanaotumia proxy, au internet zenye restriction ya kudownload torrents na kustream, hapa nimejaribu kutafuta site ambazo utadownload directs bila matatizo yoyote.
Kudownload movies na series
Kama unataka kudownload movie na series bila longo longo website ni hii hapa
tumia hii hapa movie
Index of /Masih/Film/
-animation hapa
Index of /admin/Animation/
-top 250 movies hapa
Index of /admin/250-IMDB/
-series hapa
Index of /TV.Show/
Utaclick serial kama ni series na film kama ni movie
link nyengine ya movie
Index of /Film/
na series
Index of /Serial/
Kwenye movie kuna miaka kama unajua mwaka movie iliotoka utaclick na pia kuna collection ya movie zenye parts, mfano home alone kuna part 1 hadi 5
link nyengine ya movie kama za juu zinasumbua
Index of /Data/Film/
link nyengine za movie na series
s1.dl-movie.ir - /Serial/
Index of /Data/
Kudownload games
hapa ni oceanofgames, even games kama gta v unalipata kwa single link na ma gb yake yote.
Ocean of Games
Kudownload software za PC
ukitaka operating systems, software za 3d, photoshop nk utazipata hapa
Get Into PC - Download Free Your Desired App
Apps na games za android
hizi utazipata hapa direct links
OceanofAPK - Dive & Get Your Famous APK
Una site nyengine za direct links? Usisite kuzitaja ni update thread
Hio ni torrent mkuu p2p so kwa hapa haifai,Kuna hii website ambayo Mimi napenda kutumia pia aina complications nyingi inaitwa EZTV ni nzuri kwa kudownloads series na ni very updated so naipendekeza
Thanks kaka ni kweli kwenye hii site torrent inatumika kwa asilimia kubwa.Hio ni torrent mkuu p2p so kwa hapa haifai,
Ila ni nzuri kwa njia yake kama una kifaa kinachokubali torrent na internet inayokubali torrent.
Imekaa vizuri sanaKwa namna moja ama nyingine wengi wetu tunapenda filamu (Movies) au Tamthilia (Series) na kama wewe ni mmoja wa wengi hao basi hii ni kwaajili yako. Njia hii ni rahisi sana na itakusaidia kuangalia Movies mpya au Series ambazo hata hazijafika kwenye baadhi ya kumbi za sinema hapa Tanzania na afrika mashariki kwa ujumla, moja kwa moja twende tukaanze mafunzo yetu.!
LINK MAALUM
1. Download App ya Movies Hapa Download Terrarium TV-Premium-1.5.6.apk
(UPDATE ya Toleo Jipya la App ya Movies Download Terrarium TV-Premium-1.5.7.apk)
2. Download Download Manager Hapa Download Download Accelerator Plus v20170319 Premium APK.apk
3. Download MX Player Hapa MX Player - Android Apps on Google Play au Kupitia Play Store Tafuta "MX Player"
4. Maelezo Zaidi hapa Jinsi ya Kudownload Movies na Series Mpya Kupitia Simu Yako
Kama makala hii imekusaidia unaweza ku like na kucomment hapo chini kama una swali lolote au kama kuna mahali umekwama. Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownloadApp ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga nachannel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja yote ya teknolojia kwa njia ya video.
sometimes nachoka bhana sio kila mda ni kazi.Unawaza movie wakati wa kazi....Fyekelea mbali
Njoo nikuuzie. Lete Hard Disc au Flash niwe nakuwekea kwa bei cheeeKama heading hapo juu huku job wameblock FB, INSTA, YOUTUBE na PUTLOCKER sasa sometimes nikichoka nataka kuburudika kidogo nisaidien LINKS ZA KUANGALIA/DOWNLOAD MOVIES kuingia fb nk.
wajuzi tafadhali
ASANTE MKUU SASA KAMA KUNA NET YA BURE OFISINI SI UNIPE LINK, ANYWAY UNAPATIKANA WAPI NA KIMA CHA CHINI NI BEI GANI?Njoo nikuuzie. Lete Hard Disc au Flash niwe nakuwekea kwa bei cheee
Hio computer ina vlc?Kama heading hapo juu huku job wameblock FB, INSTA, YOUTUBE na PUTLOCKER sasa sometimes nikichoka nataka kuburudika kidogo nisaidien LINKS ZA KUANGALIA/DOWNLOAD MOVIES kuingia fb nk.
wajuzi tafadhali
Unawez ukawa na net usiwe na access Ya muvi Boss. Nipo hapa mabibo Hostel, ntakufanyia mia tatu per muvi (kawaida ni mia tano) Kama tu zikiwa nyingi. Season shilingi per 10 episode za dak chini ya 45 per episode. Ikiwa ndefu inakuwa bei rahisi zaidi.ASANTE MKUU SASA KAMA KUNA NET YA BURE OFISINI SI UNIPE LINK, ANYWAY UNAPATIKANA WAPI NA KIMA CHA CHINI NI BEI GANI?