Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Kuna aina mbalimbali za kudownload mafile kama kutumia torrents, kutumia file sharing sites kama mediafire, ku-capture video za online nk lakini aina zote hizo hazifikii kudownload file direct. Nikisema direct namaanisha ukiclick tu file linaanza kudownload bila msaada wa software yoyote au kusubiri.

Njia hii pia ni maarufu kwa wale wanaotumia proxy, au internet zenye restriction ya kudownload torrents na kustream, hapa nimejaribu kutafuta site ambazo utadownload directs bila matatizo yoyote.

Kudownload movies na series
Kama unataka kudownload movie na series bila longo longo website ni hii hapa
tumia hii hapa movie
Index of /Masih/Film/


-animation hapa
Index of /admin/Animation/
-top 250 movies hapa
Index of /admin/250-IMDB/
-series hapa
Index of /TV.Show/

Utaclick serial kama ni series na film kama ni movie
link nyengine ya movie
Index of /Film/
na series
Index of /Serial/

Kwenye movie kuna miaka kama unajua mwaka movie iliotoka utaclick na pia kuna collection ya movie zenye parts, mfano home alone kuna part 1 hadi 5

link nyengine ya movie kama za juu zinasumbua
Index of /Data/Film/

link nyengine za movie na series
s1.dl-movie.ir - /Serial/
Index of /Data/


Kudownload games
hapa ni oceanofgames, even games kama gta v unalipata kwa single link na ma gb yake yote.

Ocean of Games

Kudownload software za PC
ukitaka operating systems, software za 3d, photoshop nk utazipata hapa
Get Into PC - Download Free Your Desired App

Apps na games za android
hizi utazipata hapa direct links
OceanofAPK - Dive & Get Your Famous APK

Una site nyengine za direct links? Usisite kuzitaja ni update thread
Kuna hii website ambayo Mimi napenda kutumia pia aina complications nyingi inaitwa EZTV ni nzuri kwa kudownloads series na ni very updated so naipendekeza
 
Kuna hii website ambayo Mimi napenda kutumia pia aina complications nyingi inaitwa EZTV ni nzuri kwa kudownloads series na ni very updated so naipendekeza
Hio ni torrent mkuu p2p so kwa hapa haifai,

Ila ni nzuri kwa njia yake kama una kifaa kinachokubali torrent na internet inayokubali torrent.
 
Hio ni torrent mkuu p2p so kwa hapa haifai,

Ila ni nzuri kwa njia yake kama una kifaa kinachokubali torrent na internet inayokubali torrent.
Thanks kaka ni kweli kwenye hii site torrent inatumika kwa asilimia kubwa.
 
Ni torrent gani inafanya kazi sasa hivi?

Naona nyingi zimeminywa.
 
1337.xo hii ni serach engine ya torrent (aka ni google ya torrent)

Kwa sasa mie ndio natumia plus torrent zake hukaguliwa so fake one hutolewa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa namna moja ama nyingine wengi wetu tunapenda filamu (Movies) au Tamthilia (Series) na kama wewe ni mmoja wa wengi hao basi hii ni kwaajili yako. Njia hii ni rahisi sana na itakusaidia kuangalia Movies mpya au Series ambazo hata hazijafika kwenye baadhi ya kumbi za sinema hapa Tanzania na afrika mashariki kwa ujumla, moja kwa moja twende tukaanze mafunzo yetu.!



LINK MAALUM
1. Download App ya Movies Hapa Download Terrarium TV-Premium-1.5.6.apk
(UPDATE ya Toleo Jipya la App ya Movies Download Terrarium TV-Premium-1.5.7.apk)
2. Download Download Manager Hapa Download Download Accelerator Plus v20170319 Premium APK.apk
3. Download MX Player Hapa MX Player - Android Apps on Google Play au Kupitia Play Store Tafuta "MX Player"
4. Maelezo Zaidi hapa Jinsi ya Kudownload Movies na Series Mpya Kupitia Simu Yako

Kama makala hii imekusaidia unaweza ku like na kucomment hapo chini kama una swali lolote au kama kuna mahali umekwama. Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownloadApp ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga nachannel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja yote ya teknolojia kwa njia ya video.

Imekaa vizuri sana
Hongera pia.......
 
Kama heading hapo juu huku job wameblock FB, INSTA, YOUTUBE na PUTLOCKER sasa sometimes nikichoka nataka kuburudika kidogo nisaidien LINKS ZA KUANGALIA/DOWNLOAD MOVIES kuingia fb nk.

wajuzi tafadhali
 
Tumia proxy servers au vpn kuacess hizo site zilizofungwa.
 
Kama heading hapo juu huku job wameblock FB, INSTA, YOUTUBE na PUTLOCKER sasa sometimes nikichoka nataka kuburudika kidogo nisaidien LINKS ZA KUANGALIA/DOWNLOAD MOVIES kuingia fb nk.

wajuzi tafadhali
Njoo nikuuzie. Lete Hard Disc au Flash niwe nakuwekea kwa bei cheee
 
Kama heading hapo juu huku job wameblock FB, INSTA, YOUTUBE na PUTLOCKER sasa sometimes nikichoka nataka kuburudika kidogo nisaidien LINKS ZA KUANGALIA/DOWNLOAD MOVIES kuingia fb nk.

wajuzi tafadhali
Hio computer ina vlc?

Ama video player yoyote decent?
 
ASANTE MKUU SASA KAMA KUNA NET YA BURE OFISINI SI UNIPE LINK, ANYWAY UNAPATIKANA WAPI NA KIMA CHA CHINI NI BEI GANI?
Unawez ukawa na net usiwe na access Ya muvi Boss. Nipo hapa mabibo Hostel, ntakufanyia mia tatu per muvi (kawaida ni mia tano) Kama tu zikiwa nyingi. Season shilingi per 10 episode za dak chini ya 45 per episode. Ikiwa ndefu inakuwa bei rahisi zaidi.

Njoo na elfu kumi na Hard disc ntakuwekea za kutosha
 
Back
Top Bottom