Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nilivoona njia mpya basi nikajua ni kitu advanced, kumbe ndo hizo zilipendwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Weka basi hizo zinapendwa...haina haja ya kuonyesha kejeli, inawezekana upo more knowledgeable share basi tupate udambwi udambwi ila kwa mtu kama mimj ambaye nikipata muda nnachek movie mpya century Cinemax, nikitaka ku download naenda kwenye torrents au putlockers na ninapata ninachotaka siwezi kufahamu hizo njia mpya zaidi, nilikuwa ninakereka sana na ads ndio maana nilivyoipata hii nika share...embu share na wewe na ninakuahidi ikiwa ni njia mpya ambayo sihifahamu na haina ads wala subscription nakutumia 50k attach your number PM
 
Jamani nami naomba link ya kushusha mzigo wa 24hrs ya Jack Bauer
 
Sio kejeli mkuu, ni kwamba tu imenikumbusha enzi hizo maana niliitumiaga zamani baada ya kuachana na combination ya gomovies na IDM, Ila baada ya kudownload chinese dubbed movies mara kadhaa nikaiona sio poa nikarudi tu kwenye IDM. Ila siku hizi huwa nadownload torrent kwenye cloud storage afu nazishusha kwa IDM fasta tu. [emoji4][emoji4][emoji4]
lengo ilikuwa sio kejeli.
Sent from my SM-P601 using JamiiForums mobile app
 
Blindspot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…