Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Mkuu wakati nimemamaliza kudownload exe ya malbytes ilikuwa na icon yake fresh tu, but ikikaa kidogo baada ya kudownld inaharibika, hata icon inapotea na exe ynyw inakuwa invalid
Shortcut ya kusolve ni kwenda safe mode tena kisha kurestore pc kwa tarehe ya zamani kabla tatizo halijaanza.

Kwa hilo exe kuwa invalid nahisi kama kirusi kimebadili program ya kufungulia exe. Umejaribu kwenda local disk c kisha program files kisha ukatafuta program husika na kuifungulia kwa kule?
 
Ngoja nitajaribu hii, halafu restore point unachagua tarehe yoyote ya mwanzo!?
 
Just google

indexof: jina la movie unayotaka

Mfano

Indexof: den of thieves

Ikifunguka chagua link ya pili au ya tatu itakuletea movies wewe ni kuchagua unayotaka na kuidondosha kiurahisi kabisa bila kufunguka funguka kwa ads.
 
Aisee nice, mbona hukututaarifu mapema

Ngoja nishushe house of cards season 6 [emoji108][emoji41]
 
Hahaa! Sasa hiyo ni namna ya ku-download movie au ni moja ya njia ya kupata series/movies series kwa urahisi ingawaje usipokuwa makini unaweza kujikuta ume-pick movie/series files zilizokuwa dubbed Kichina!
 
Hii series imenipita, ila watu kadhaa nimekutana nao wanaisifu sana.. cha ajabu hawasemi ikoje wanasema tu bonge la series ..
Hebu nipe ABC ya hii muvi nipate mzuka mkuu. Inahusu nini?
Aisee hata mimi binafsi sikutegemea kama nitaipenda..

Inahusu politics, corruption, intelligence, propaganda, mapenzi pia yamo.. All the things politicians do to stay in power, all the things politicians do kuwanyamazisha watu wanaotaka kuvujisha siri zao. Ni nzuri sana.

Huyo rais wa US anaitwa Frank Underwood ni hatari [emoji23], kila muda anakwaruzana na rais wa Russia.
Underwood pia yuko vizuri ku manipulate hata wafanyakazi wake wa karibu ndani ya Whitehouse wasimsaliti, wakimsaliti anawatisha wazi wazi aidha kuwapoteza au kuvujisha siri zao au kuwaondoa madarakani, hatari

Nimetokea kuipenda kwa kweli ingawa sipendi siasa
 
Just google

indexof: jina la movie unayotaka

Mfano

Indexof: den of thieves

Ikifunguka chagua link ya pili au ya tatu itakuletea movies wewe ni kuchagua unayotaka na kuidondosha kiurahisi kabisa bila kufunguka funguka kwa ads.
Ads ndiyo nini
 
Aisee hata mimi binafsi sikutegemea kama nitaipenda..

Inahusu politics, corruption, intelligence, propaganda, mapenzi pia yamo.. All the things politicians do to stay in power, all the things politicians do kuwanyamazisha watu wanaotaka kuvujisha siri zao. Ni nzuri sana.

Huyo rais wa US anaitwa Frank Underwood ni hatari [emoji23], kila muda anakwaruzana na rais wa Russia.
Underwood pia yuko vizuri ku manipulate hata wafanyakazi wake wa karibu ndani ya Whitehouse wasimsaliti, wakimsaliti anawatisha wazi wazi aidha kuwapoteza au kuvujisha siri zao au kuwaondoa madarakani, hatari

Nimetokea kuipenda kwa kweli ingawa sipendi siasa
Ahsante mkuu, nitaipakua keshokutwa. Nikienda kwenye Wi-Fi ya bure.
 
Hii series imenipita, ila watu kadhaa nimekutana nao wanaisifu sana.. cha ajabu hawasemi ikoje wanasema tu bonge la series ..
Hebu nipe ABC ya hii muvi nipate mzuka mkuu. Inahusu nini?
Ni kweli mkuu "Ni bonge la movie" acha!!

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom