Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Shortcut ya kusolve ni kwenda safe mode tena kisha kurestore pc kwa tarehe ya zamani kabla tatizo halijaanza.Mkuu wakati nimemamaliza kudownload exe ya malbytes ilikuwa na icon yake fresh tu, but ikikaa kidogo baada ya kudownld inaharibika, hata icon inapotea na exe ynyw inakuwa invalid
Kwa hilo exe kuwa invalid nahisi kama kirusi kimebadili program ya kufungulia exe. Umejaribu kwenda local disk c kisha program files kisha ukatafuta program husika na kuifungulia kwa kule?