Jinsi ya kudownload movies ni njia 2 tu either kuwa na Apk or kutumia telegram.
Apk nilizowai tumia ni showbox, terrarium na popcorn ila now natumia Movie Hd.
Kuipata Movie Hd unaipata google ukiwa nayo hii una download Apk nyingine Playstore inaitwa jina limenitika coz now sina simu hapa izi unapata movies latest zote with High quality (Hd) unaweza angalia online or download na ukaweka katika flash or laptop yako lakini pia ina tv series kama kawaida
Kwa korean series and Movies natumia Dramania unaipata kule google hii ina subtitle ya english kabisa kama iyo Movie hd
Njia ya pili ni Telegram hii unaipakua playstore or Apk store then una search pale juu telegram movie. Hii ndo yenyewe achana na zingine hii yenye alama za kirumi (ii) hapa utapata movies zote latest kabisa
Sent from my iPhone using JamiiForums