Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Habari mkuu, naomba nisaidie app ya Korean dramas ambayo ina subtitles
kuna jamaa hapa ametengeneza website isio na matangazo ya kuangalizia hizo drama za kikorea, quality hadi 240p hivyo kwa simu na mb kidogo pia inafaa, tatizo lake ni mpaka uingie hio site kutokea reddit ndio inagenerate token.


nimeicheki ipo poa.

kwa app tumia dramania
http://mobi24.net/apks/Dramania.apk
 
Mkuu namimi naomba appearance nzuri ya kudown load movie kwenye iPhone


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kuna jamaa hapa ametengeneza website isio na matangazo ya kuangalizia hizo drama za kikorea, quality hadi 240p hivyo kwa simu na mb kidogo pia inafaa, tatizo lake ni mpaka uingie hio site kutokea reddit ndio inagenerate token.


nimeicheki ipo poa.

kwa app tumia dramania
http://mobi24.net/apks/Dramania.apk

Mkuu naomba kuuliza, nimeicheki hii dramania ipo vizuri Ila sijaona sehemu ya kuchagua season sake kama ya 2 nk. Naona episode tu je hawa huwa hawana au vp
 
kwanini tu msidownload telegram na kuchoose particular group...mi muvi ikitoka leo nikiserch nadownload iku hiyo hiyo
Inategemea na kitu unachotafuta na urahisi wa kukipata kuna namna nyingi sana za kudownload vitu torrent, open directories, websites mbalimbali za kudownloadia, scripts zinazofetch kama hizi apps, na hizo telegram etc.

Series kama za kikorea/kichina/japan nyengine zinakuwa kazi sana kuzipata hasa kwa hizi script zinazofetch, inabidi uzitafute kwenye vyanzo vyake.

Sometime pia file linakuwa kubwa sana hivyo inabidi utafute torrent yenye seeders wengi amba server zenye speed sana kama za google/microsoft/amazon.
 
Tafuta modded version yoyote ya Netflix. Huwa zinakuwa na option ya kudownload movie...
Je ni app gani ni nzuri kwa kupakua full movies to watch offline kwa android?

Sent using Jamii Forums mobile app

Screenshot_20200316-101142.jpeg
Screenshot_20200316-101136.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Movie zakikorea tumia DRAMANIA IPO GOOGLE movies za kizungu kama series na Movies Hd tumia apk inaitwa MOVIE HD alafu downloads AM player playstore utaenjoy.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huwa napendelea dramanice na kissiassian. Pia pendelea kuvuta zenye mb chache kama mb 150, mb 200 na 300 zinawahi kudownload
Sorry kiongozi, wewe hupendelea kutumia site ipi mara nyingi?
Nimeona zote zipo vizuri
 
Back
Top Bottom