mkhande95
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 308
- 180
Ubarikiwe sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubarikiwe sana mkuu
kuna jamaa hapa ametengeneza website isio na matangazo ya kuangalizia hizo drama za kikorea, quality hadi 240p hivyo kwa simu na mb kidogo pia inafaa, tatizo lake ni mpaka uingie hio site kutokea reddit ndio inagenerate token.Habari mkuu, naomba nisaidie app ya Korean dramas ambayo ina subtitles
Nashukuru sana mkuu. Ubarikiwe 👏kuna jamaa hapa ametengeneza website isio na matangazo ya kuangalizia hizo drama za kikorea, quality hadi 240p hivyo kwa simu na mb kidogo pia inafaa, tatizo lake ni mpaka uingie hio site kutokea reddit ndio inagenerate token.
nimeicheki ipo poa.
kwa app tumia dramania
http://mobi24.net/apks/Dramania.apk
kuna jamaa hapa ametengeneza website isio na matangazo ya kuangalizia hizo drama za kikorea, quality hadi 240p hivyo kwa simu na mb kidogo pia inafaa, tatizo lake ni mpaka uingie hio site kutokea reddit ndio inagenerate token.
nimeicheki ipo poa.
kwa app tumia dramania
http://mobi24.net/apks/Dramania.apk
Sifahamu, hio series husika ina season?Mkuu naomba kuuliza, nimeicheki hii dramania ipo vizuri Ila sijaona sehemu ya kuchagua season sake kama ya 2 nk. Naona episode tu je hawa huwa hawana au vp
Basis inawezekana ni series yenyewe maana nimeona nyingine zimo. Shukrani mkuu.Sifahamu, hio series husika ina season?
Kwanini tu msidownload telegram na kuchoose particular group...mi muvi ikitoka leo nikiserch nadownloadSifahamu, hio series husika ina season?
Inategemea na kitu unachotafuta na urahisi wa kukipata kuna namna nyingi sana za kudownload vitu torrent, open directories, websites mbalimbali za kudownloadia, scripts zinazofetch kama hizi apps, na hizo telegram etc.kwanini tu msidownload telegram na kuchoose particular group...mi muvi ikitoka leo nikiserch nadownloadiku hiyo hiyo
Habari mkuu, naomba nisaidie app ya Korean dramas ambayo ina subtitles
zote zina subs mkuu?...Google 1.kissiassian.sh
2.dramanice 3.dramacool. 4. Daebackdrama
Ni web
Tumia uc browser
Download utorrent kisha ingia yts.am zinakuja na subtitles.naombeni msaada nawezaje kudwnload movie ikiwa na english subtittle
Sent using Jamii Forums mobile app
Je ni app gani ni nzuri kwa kupakua full movies to watch offline kwa android?
Sent using Jamii Forums mobile app
zote zina subs mkuu?
Thanks mkuu 👏Ndio subtitles zipo. Nyingi zinazo ila kama hazina inakuandikia RAW
Sorry kiongozi, wewe hupendelea kutumia site ipi mara nyingi?Ndio subtitles zipo. Nyingi zinazo ila kama hazina inakuandikia RAW
Sorry kiongozi, wewe hupendelea kutumia site ipi mara nyingi?
Nimeona zote zipo vizuri
Shukrani, sema zina size kubwa ila sio mbaya ni quality nzurihuwa napendelea dramanice na kissiassian