Burnaboy
JF-Expert Member
- Dec 2, 2019
- 1,070
- 1,439
Haiwi stored na wao wenyewe. Uki download inabaki kwenye sm yako (internal storage)Hii app kwenye swala la muvi kuwa stored na wao wenyewe ndio lililofanya niifute
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiwi stored na wao wenyewe. Uki download inabaki kwenye sm yako (internal storage)Hii app kwenye swala la muvi kuwa stored na wao wenyewe ndio lililofanya niifute
Itakuwa ni speed ya internet tuIyo shida unapataje Mzee labda ungeelezea ikiwezekana ata ka screen short kidogo
Mimi nilikuwa nauliza hhivi ,Haiwezekani ku download hizo Quality za VIPIyo shida unapataje Mzee labda ungeelezea ikiwezekana ata ka screen short kidogo
Ishu ni kwamba nkitaka niihamishe siweziHaiwi stored na wao wenyewe. Uki download inabaki kwenye sm yako (internal storage)
Umeiona kwenye internal storage?Ishu ni kwamba nkitaka niihamishe siwezi
Mkuu hivi hizi Mb za Vip hakiwezekani ku downloadUmeiona kwenye internal storage?
Mkuu hivi hizi Mb za Vip hakiwezekani ku download
Hahahahahahahahah Nimekuelewa sana Mkuu.Hizo za VIP nadhani watataka u subscribe kwa malipo.
Hawa mabeberu wakitengeneza service ya free lazima waweke element ya malipo ili waweze ku survive.
Si tubaki tu changanyikeni kwa free!!!
Nafkiri imekufa hio functionality, copy link husika kisha paste kwenye app yoyote inayoweza kudownload kama opera, ucweb hata download manager kama adm itadownload.Mkuu nikiclick DOWNLOAD mbona haitokei chchte
Habari mkuu, naomba nisaidie app ya Korean dramas ambayo ina subtitles.Nafkiri imekufa hio functionality, copy link husika kisha paste kwenye app yoyote inayoweza kudownload kama opera, ucweb hata download manager kama adm itadownload.
Habari mkuu, naomba nisaidie app ya Korean dramas ambayo ina subtitles
Shukrani mkuu, he hii ni app ama webkorean+chinese + japs
ww tu ushindwe mwenyewe
Asian Drama, Movies and Shows EngSub Polldrama
Sent using Jamii Forums mobile app
shukrani mkuu, he hii ni app ama web