Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Hizo za VIP nadhani watataka u subscribe kwa malipo.

Hawa mabeberu wakitengeneza service ya free lazima waweke element ya malipo ili waweze ku survive.

Si tubaki tu changanyikeni kwa free!!!
Hahahahahahahahah Nimekuelewa sana Mkuu.
 
Nafkiri imekufa hio functionality, copy link husika kisha paste kwenye app yoyote inayoweza kudownload kama opera, ucweb hata download manager kama adm itadownload.
Habari mkuu, naomba nisaidie app ya Korean dramas ambayo ina subtitles.
 
Back
Top Bottom