Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Niambie namna ya kudownload maana nimejaribu nimeshindwa inakuja mambo ya kusign
Bonyeza movie husika itakupeleka sehem ya play kwa chini kuna mshale sehemu ya download bofya hapo itakuletea sehem ya ukubwa Wa mb bonyeza ya chini kabisa cheki izo screen short apo vipi?

Screenshot_2020-01-19-18-15-42.jpg
Screenshot_2020-01-19-18-15-50.jpg
 
Hii picha yake ya nje ipoje mana nimeziona nyingi kweli weka screen short

Nimejaribu kuupload pic inazingua ebu fungua link
👇👇👇
 
Nimejaribu kuupload pic inazingua ebu fungua link
👇👇👇

#mkuu Mimi Wametoa version mpya
Download app kwenye link
👇👇👇👇👇
 
Zimetafriliwa au?? Manake wengine hap kizungu ni zero kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jaribu kujitengenezea mazoea ya kuchek movie za bila kutafsiliwa nilianza kufanya ivo kupitia Tamthilia za itv capital tv TVT 2005 na the promise Tamthilia yangu pendwa 2006 ndan ya TVT Anza now weka pemben Akina rufufu na wenzake wanasimulia bila Ata kujua wanacho tafsili Anza saiz utaenjoy zaid tafuta makala nyingi za lugha ya malikia komaaa nazo little by little utaanza kuelewa.
 
Wakuu hii T-Burudani ya TTCL kwenye playstore ni vipi? Au ni kama huduma zao za TBC nk
 
Hii app kwenye swala la muvi kuwa stored na wao wenyewe ndio lililofanya niifute
 
Back
Top Bottom