Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Kama unatumia simu download App inaitwa Videoder kisha install kwenye simu yako. Fungua hiyo app halafu search kitu unachotaka, kikija kuwa kama unakiplay utaona option ya kudownload. Pia katika hiyo videoder unaweza kuswitch to youtube.

Kama ni laptop, download 'Internet download manager' (au itafute IDM kwa mtu mwenye nayo ambayo ina key). install kisha fungua youtube, kuwa kama unaplay video basi IDM itadetect na kukupa option ya kudownload.

Anzia hapo, ukishindwa rudi hapa.
 
Download youtube downloader like ytd install then copy link from your youtube video kapaste kwenye ytd.
Au google on how to use keepvid to download from youtube
 
Kama unatumia simu download VIDMATE, haipatkan playstore ila unaweza kuipata kwenye search engine kama vile OPERA MINI, rahis sana kudownload you tube video kupitia hiyo APP. Ukiplay you tube video kupitia hiyo APP unaona mshale utaugusa then chagua format unayoitaka.
 
Kwa simu au pc Fanya hivi. Ukishafungua video unayotaka kuidownload na ikiwa inaplay pale juu inapoandikwa link utakuta labda http/www.mswaki.com/jot ....n.k sasa wewe ondoa Yale maneno ya mwanzo yaan ile http/www yafute ili ibaki mswaki.com/jot then enter, itakupakulia mzigo kiulainiiii. Kwa msaada zaidi tafta nyuzi humu ndani wanaelekeza jinsi ya kudownload
 
1-https://putlocker.is/
2-https://genvideos.org/2016_movies
3-https://xmovies8.org/


Popular Movies
1:49:35
The Legend of Tarzan
Year: 2016 - Quality: 1080p
Rating: 6.7
Genres: Action, Adventure, Drama, Romance
Independence_Day_Resurgence_2016_Full_Movie_-_HD_1080p.jpg

Independence Day: Resurgence
Year: 2016 - Quality: 1080p
Rating: 5.5
Genres: Action, Adventure, Sci-Fi
upload_2016-8-12_15-45-14.jpeg

1:51:38
Central Intelligence
Year: 2016 - Quality: 1080p
Rating: 6.8
Genres: Action, Comedy, Crime
1:52:18
The Purge: Election Year
Year: 2016 - Quality: 1080p
Rating: 6.5
Genres: Action, Horror, Sci-Fi, Thriller
1:47:48
Deadpool
Year: 2016 - Quality: 1080p
Rating: 8.3
Genres: Action, Adventure, Comedy, Sci-Fi
3:02:33
Batman v Superman: Dawn of Justice
Year: 2016 - Quality: 1080p
Rating: 7.0
Genres: Action, Adventure, Sci-Fi
1:32:23
Neighbors 2: Sorority Rising
Year: 2016 - Quality: 1080p
Rating: 6.1
Genres: Comedy
 
Habar wapendwa.

Naomba msaada wenu, nahitaji KUDOWNLOAD movies and Series zikiwa na English subtitle ila nashindwa japo navutiwa sana na movie na series za kikorea pamoja na kimarekani.

MSAADA WENU PLZ
 
Baadhi ya muvi haswa ukidownload from torrent files zinakuwa na subtitle file zake ila ki kawaida unaweza kudownload subtitles kwenye websites nyingi tu kama subscene.com which is very popular na ina subtitles za muvi na series nyingi tu.
 
Kama unatumia vlc player latest version kuna sehemu imeandikwa subtitle paclick hapo then utaona option ya Download subtitle.chagua English then click harsh, utaona subtitles zako.
 
Back
Top Bottom