Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,508
Naweza kupata adobe cs 8 kwa ajili ya video editing?Ukiwa free member wa rapidshare huwezi kuona file lolote la kudownload (me nilishajaribu na sikuona kitu).
So ukitumia njia hiyo hapo juu inakupeleka moja kwa moja kwenye download page yao.
NB:Hii ni kwa wale wasiofahamu.... coz nimeona watu wengi wakitafuta programs,games au movies kupitia google na wanaishia kuletewa demo,trial au zile za kulipia fee.