Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Mkuu mkwawa nahitaji link ya Ku download Cartoon.
 
chief naomba msaada wa link ya kuipakua series ya moon lovers; scarlet heart ryeo ambayo iko hd (720p) au (1080p)
 
samahani nlikua naomba link ya kudownload The shooter season 1 kuanzia episode ya 4.
Ntashukuru sana.
 
Lakini si unaona kichwa thread kinavyosema ndugu...?.

Waweza ukaanzisha uzi ukaweka huko hiyo site mbona kuna topics nyingi tu zinaeleza ku-donwload movie kwa njia tofauti tofauti mkuu...?.

Lakini topic hii Chief-Mkwawa alisema kama kuna mwengine yoyote mwenye kujua direct link aweke akimaanisha thread iwe ina deal na direct link TU.

Kama una direct link tupia hapa ndio lengo na dhumuni ya thread husika kiongozi wangu mbona inaeleweka vizuri tu mkuu.

Tutupie direct link kama ni aina nyingine ya kushusha movie si mbaya ukianzisha uzi kuhusiana na hiyo site kiongozi.

Kuna mahala nimekosea au sijaeleweka...?. Ruksa kuuliza.

KARIBU SANA.
Ndiooooo, we jamaa critical thinker
 
the man anafanya kazi nzuri ya kuwaelimisha na kuwasaidia watu. nlidhan kwa wenye dada hata wangetumia nafasi hii kumpatia mchumba/mke kama hajaoa. hakuna aliyetoa offer kama hiyo kwa huyu ndugu yetu?
Mtafutie wewe
 
Naombeni msaada wenu wana Jamii, kwa wale wataalamu wa kupakua movies kutoka kwenye websites tofauti tofauti naomba mnijuze.

Hapo awali nilikuwa natumia Kickass ila baadae ikafungiwa nikawa natumia piratesbay na yenyewe pia inahitaji ku hide ID ila n lazima uilipie.

Sasa ombi langu ni kunifahamisha websites za free ili kuweza kudowload movies.
 
Back
Top Bottom