Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Naombeni msaada wenu wana Jamii, kwa wale wataalamu wa kupakua movies kutoka kwenye websites tofauti tofauti naomba mnijuze.
Hapo awali nilikuwa natumia Kickass ila baadae ikafungiwa nikawa natumia piratesbay na yenyewe pia inahitaji ku hide ID ila n lazima uilipie.
Sasa ombi langu ni kunifahamisha websites za free ili kuweza kudowload movies.
Kickass.cd
 
Tumia showboxapp download kupitia Google. We Google showbox af idownload en utakuwa unaweza kudownload any movie u want be it a series or wat..u cud also watch online ila kama unapenda series tumia o2tv series.hope my reply was helpful[emoji4].
 
Wakuu naomba msaada kuna movie moja kati ya actors moja wapo alikuwa niga aliliwa mamba sasa naomba munisaidie jina lake kuwa inaitwaje.
 
nenda fmovies.se unakuta movies,series zoote,tv shows mpaka wanakupa tareh ya next eposodes...me ndo naitumia...unaangalia na kudownload pia
 
Mimi huwa napenda movies lakini mvivu sana kudownload cz sijui websites
 
Kaka mbona kama hiyo website ni ya kuangalia movie online. Au kuna staili yake ya kudownload muv?
Ok.

Hakikisha una IDM(Internet Download Manager). Utakapo_click,utaiona IDM inaonekana na option ya ku-download. Kila la kheri.
 
Kickass.cd ila inakuwa supported with either bit torrent au mutorrent
 
Back
Top Bottom