Jamal Malinzi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 710
- 650
- Thread starter
-
- #361
Mh, hujajibu swali, tunaomba utupe mifano, in nchi zipi? Unajua unaua Mpira kabisaaa
bora mkuu umeliona..Mh, hujajibu swali, tunaomba utupe mifano, in nchi zipi? Unajua unaua Mpira kabisaaa
ahsante Yombayomba.
Fanya jitihada uwasiliane na Alhaj Maigari (NFA President Nigeria) au Nyantaki (FA President wa Ghana),ukitaka mbali zaidi wasiliana na KNVB (FA ya Holland) au muulize Danny Jordan akwambie FA ya South Africa wana plan nini.Mipango ya Greg Dyke Chairman English FA umeisikia majuzi.
Mandate ya TFF kikatiba ni "to develop,promote and control" the game of Association football in Tanzania,iweje useme TFF inaua mpira kwa kuandaa a comprehensive youth football development plan.Rais Kikwete kila akikutana na TFF huwa anatuambia nini.Kazi aliyoifanya Lawrence Mulindwa Uganda unaijua?

Na makubaliana na wewe Ndudu Malinzi mmilika wa mpira ni TFF hivyo ata sera ya youth development lazima iandaliwe na TFF tena kiustadi na ndio ishirikishe wadau wengine kama vilabu, vyama vya mpira vya mkoa, mashirika n.k, lakini mpango lazima uratibiwe na usimamiwe na shirikisho hatuwezi kuwa na youth development holela holela kama ilivyo sasa lazima kuwe na mission na vision na kuwe na msimamizi mkuu wa mpango huo ambaye lazima iwe ni TFF naunga mkono mnachotaka kufanya it is good idea wasiwasi wangu ni mipango yenu kwenye utekelezaji tu, maana kuna hitaji gharama na maamuzi magumu kwa mfano tu haya maamuzi magumu yalitakiwa yaanze na timu za ligi kuu TFF iwe serious kuwa huna timu za vijana kuanzia under 20 hadi under 15 isiruhusiwe kushiriki ligi na hapa iwe serious kweli kweli ikiwa ni pamoja na kuzitembelea hizo timu na kuzitafutia udhamini kwa kushirikiana na vilabu.
Ahsante MKALIKENYA kwa kuelewa hii dhana.Tatizo letu kubwa tulio wengi ni kutaka twende mbinguni bila kufa kwanza!Unapataje timu nzuri ya Taifa ambayo wachezaji waki pata call up na kuingia kambini wanacheza mpira unaofanana kama hukuweka utaratibu wa kitaifa wa kuwafundisha mpira wa awali na wa vijana? Nani ataratibu haya mafunzo kitaifa kama sio TFF?
Mh Rais inawezekana sisi tuna taarfa Nusu juu ya hii Youth Football Dvlp Plan itakayokuwa chini ya TFF Direct...kama kuna makarabrasha ambayo ni Public Ofisini kwako tunaomba Utuwekee humu tuyapitie kidogo...
Lakini tunaelewa hili ni suala la Private zaidi kama alivyosema Yombayomba...TFF Ikianza kudili moja kwa moja na uendeshaji wa soka mgongano wa maslahi lazima utokee tu..Angalia mfano wale wachezaji wa maboresho mliowachagua timu ya Taifa na kuwaweka kule Tukuyu...tunasoma kwenye magazeti kocha amewakataa wote..
Huko Nje mfano England Club zote zina Misingi imara ya timu za vijana, si Sunderland mh Kikwete aliwatembelea alipokuwa huko kikazi..??
pachanya let me make this clear:
1.Mpango wa maboresho wa TFF hauku feli hata kidogo,on the contrary umefanikiwa sana.Yako mambo Mwl Nooij halazimiki kuyatamka hadharani kuhusu wale vijana,wapo na wanaendelea na mafunzo,kumbuka Afcon qualifiers awali ilikuwa ziwe Septemba na sio May,mipango ya TFF ya awali ililenga hapo.
2.Unasema youth development ni jukumu la private sector,private sector ipi duniani ulisikia imenunua mipira laki tano size 3 ikaisambaza shule zote za msingi nchi nzima,ni private sector ipi duniani ulisikia imeajiri na kulipa mshahara wa mwalimu mmoja wa mpira kila shule ya msingi nchi nzima? Ndio maana ninasema TFF tutabuni na kuratibu mpango huu,utekelezwaji utafanywa na wadau wote ikiwemo Serikali (Hasa Tamisemi,wizara ya elimu na wizara ya michezo),mashirika ya umma na binafsi,NGO,mimi,wewe,media,familia ya mpira vikiwemo vilabu nk
ahsante Yombayomba.
Fanya jitihada uwasiliane na Alhaj Maigari (NFA President Nigeria) au Nyantaki (FA President wa Ghana),ukitaka mbali zaidi wasiliana na KNVB (FA ya Holland) au muulize Danny Jordan akwambie FA ya South Africa wana plan nini.Mipango ya Greg Dyke Chairman English FA umeisikia majuzi.
Mandate ya TFF kikatiba ni "to develop,promote and control" the game of Association football in Tanzania,iweje useme TFF inaua mpira kwa kuandaa a comprehensive youth football development plan.Rais Kikwete kila akikutana na TFF huwa anatuambia nini.Kazi aliyoifanya Lawrence Mulindwa Uganda unaijua?
Mh Malinzi,
Kwanza naomba uniwie radhi kwa neno nitakalotumia, ukweli hujatutendea hali, na ni dharau kubwa kwa majibu uliyotoa hapa. Sisi hatukukuomba ufungue hii link? leo unaulizwa mswali muhimu, unajibu kama unaongea na mabaunza? its so sill, kwa mtu kama wewe kujibu namna hii. Niwie radhi kwa kauri hii.
Yaani tukitaka kujua unachotaka kufanya tuwafate akina Alhaj Maigari (NFA President Nigeria) au Nyantaki (FA President wa Ghana), na KNVB (FA ya Holland) na Danny Jorda, au tumuulize Mh Jakaya Kikwete kawaambia nini????????????????
Unachotakiwa ni kutueleza ni vipi TFF, itakavyoshiriki kwenye hizi academy, hiki ndio tunatakiwa tujue na tujadili.
Yombayomba ulitaka nikupe mifano ya nchi ambazo zina national youth development programmes,nimekupa hizo,kuna ubaya kufanya hivyo?
Mwambie Gaudence kuwa Malinzi anauliza mbona hujamwalika?Jamal Malinzi
Pongezi kwako binafsi na Team yetu kw akuifunga Zimbabwe!Waingereza wao wana msemo wao "W" is "W" yaani win is a win haijalishi umeshindaje!
Sikuweza kuona mechi hii kwani nilisafiri kwenda kijijini kwetu Ipinda-Kyela kwenye harusi ya Gaudence Mwaikimba(Azam)aliye funga harusi siku Stars inacheza!
Mechi ijayo kule Zimbabwe inachezwa mji gani na lini Rais wa TFF?Nataka nikaone mechi hiyo!
Mwambie Gaudence kuwa Malinzi anauliza mbona hujamwalika?
zimbabwe vs Tanzania,National stadium Harare,kick,off15hrs,1st june 2015,karibu.
mlitangaza tenda magazetini ili wengine wenye uwezo tu design kisha tupambanishwe..?au mie sikuona tangazo hilo..?
..ok..naweza kudesign na kisha kuleta kwenu? na ikiwa katika animation pia..
anariruka tu..utadhani haoni. Jamal MalinziHili swali nafkiri Mh;Rais hujalijibu...
Huo Mchakato unaoendelea Ni wa Siri??
Mheshimiwa malinzi sisi wazanzibari kilio chetu kipo pale pale,suala la michezo si la muungano kwa nini mutuwakilishe?tunahitaji kuiona znz ikipeperusha bendera yake everywhere sio somewhere and other places not,ni muda sasa wa kuelewana friendly sio muda wa kufanyiana udikteta,na hyo ni miongoni mwa ahadi zako ulipokuja znz
Mwambie Gaudence kuwa Malinzi anauliza mbona hujamwalika?
zimbabwe vs Tanzania,National stadium Harare,kick,off15hrs,1st june 2015,karibu.