Kwa lugha nyingine unataka Malinzi amwage hapa jf dondoo za mawasiliano yote aliyokuwa anayafanya na Mwalimu Nooij kuanzia January mwaka huu kabla hata programu ya maboresho haijaanza hadi leo hii? Huo utakuwa utawala bora kweli? Ninachokuomba @ mjasiria akili na wadau wote wa mpira ni positivity,let be positive,negativity eventually itawaathiri na wachezaji,wazimbabwe wanakuja kumi na moja na sisi tutakuwa kumi na moja acha tupambane,ni Zimbabwe hawa hawa mwishoni mwa mwaka jana tuliwatoa kamasi hapa hapa uwanja wa Taifa,waache waje tuwaone.