Jamal Malinzi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 710
- 650
- Thread starter
- #361
Mh, hujajibu swali, tunaomba utupe mifano, in nchi zipi? Unajua unaua Mpira kabisaaa
ahsante Yombayomba.
Fanya jitihada uwasiliane na Alhaj Maigari (NFA President Nigeria) au Nyantaki (FA President wa Ghana),ukitaka mbali zaidi wasiliana na KNVB (FA ya Holland) au muulize Danny Jordan akwambie FA ya South Africa wana plan nini.Mipango ya Greg Dyke Chairman English FA umeisikia majuzi.
Mandate ya TFF kikatiba ni "to develop,promote and control" the game of Association football in Tanzania,iweje useme TFF inaua mpira kwa kuandaa a comprehensive youth football development plan.Rais Kikwete kila akikutana na TFF huwa anatuambia nini.Kazi aliyoifanya Lawrence Mulindwa Uganda unaijua?
Last edited by a moderator: