MKALIKENYA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,196
- 486
hahahaaha kibiashara swali tata hili!
Mh.malinzi hivi wale vijana yatima walioshinda kule brazil,wapo wapi?
mbona ujenzi wa uwanja wa nyamagana hauanzi wakati halmashauri ya jiji la mwanza walishatoa pesa zote walizotakiwa kutoa?
Hivi azam media..imeingia mkataba na tff kurusha mechi za taifa stars?...nimeona mara nyingi toka azam media imeingia wamekua wakirusha live mechi za stars....
Nazungumzia..mkataba wa haki za kuonesha. Jamal Malinzi
Kipaji Halisi mwenye haki ya matangazo ya Afcon qualifiers ni shirikisho la mpira wa miguu Afrka CAF
Wangekua na nia kweli ya kureta mabadiliko huu ushauri wako sio wakupuuza...!!Soka la Tanzania linasuasua sana na haya ni matokeo ya kutokuwa na shule za uhakika na makini za soka la watoto na vijana,nakushauri ongea na watu wa JKT Ruvu muanzishe shule ya soka ya mfano na makini yenye viwango vya kimataifa ,nimependekeza Ruvu JKT kwa sababu tiyari wanayo timu ya ligi kuu,wana eneo kubwa, wana viwanja vitatu vya soka ambavyo viwili vinafaa kwa mazoezi na kimoja kwa mechi,kuna shule za msingi na sekondari maeneo karibu na kambi,Pia kambi ya Ruvu ipo mahali panapofikika kwa urahisi.
Mnaweza kushirikisha wadau wengine kwenye suala hili na hiyo shule ya soka mtakuwa mnaimiliki TFF na JKT.
Pia tengenezeni sheria za kulinda wachezaji wa hizo academy ,mtu unaweza kuanzisha academy yako baaada ya kutengeneza wachezaji timu nyingine zinakuja kuwachukua kiurahisi.
Soka la Tanzania linasuasua sana na haya ni matokeo ya kutokuwa na shule za uhakika na makini za soka la watoto na vijana,nakushauri ongea na watu wa JKT Ruvu muanzishe shule ya soka ya mfano na makini yenye viwango vya kimataifa ,nimependekeza Ruvu JKT kwa sababu tiyari wanayo timu ya ligi kuu,wana eneo kubwa, wana viwanja vitatu vya soka ambavyo viwili vinafaa kwa mazoezi na kimoja kwa mechi,kuna shule za msingi na sekondari maeneo karibu na kambi,Pia kambi ya Ruvu ipo mahali panapofikika kwa urahisi.
Mnaweza kushirikisha wadau wengine kwenye suala hili na hiyo shule ya soka mtakuwa mnaimiliki TFF na JKT.
Pia tengenezeni sheria za kulinda wachezaji wa hizo academy ,mtu unaweza kuanzisha academy yako baaada ya kutengeneza wachezaji timu nyingine zinakuja kuwachukua kiurahisi.
kambi ya timu ya taifa inawekwa tukuyu sehem yenye hali ya baridi.kisha timu inaenda kucheza dar kwenye joto jingi,ivi wataalam wa soka hili hawalioni kuwa nitatizo pia?
D2050 mambo yanayohitaji uweledi tuwaachie makocha,mfano kambi ya botswana mimi nilishafanya mpango timu iende Amman Jordan kocha akasema hapana anahitaji high altitude na baridi,ni mtaalam ana sababu zake,tumheshimu na tumwache afanye kazi yake.kambi ya timu ya taifa inawekwa tukuyu sehem yenye hali ya baridi.kisha timu inaenda kucheza dar kwenye joto jingi,ivi wataalam wa soka hili hawalioni kuwa nitatizo pia?
kuna sheria gani ya kumlinda mwekezaji anayeanzisha shule ya soka,kuhusu kuibiwa wachezaji wake?
Malinzi,
Hivi CECAFA, inashirikisha vyama wanachama katika kuanadaa mashindano(ratiba) yake, i.e klabu bingwa? Na je nia hasa haya mashindano ni nini? kukuza mpira ukanda huu, biashara, kukuza maelewano ya viongozi? Nauliza hivi, kwa sababu, nikiangali tu tuchukulie mfano wa wawakilishi wa Tazania bara (Tanganyika) Yanga, hivi kweli tunategemea wafanye vizuri? au wanakwenda tu kushiriki si kupigania kuchukua kombe? Kwa nini nasema hivi?
1) Yanga inawachezaji wengi kwenye timu za taifa za ukanda huu, hawa wachezaji wanamaliza mashindano tarehe 4 August, na mashindano yanaanza tarehe 8 August. Yanga inaweza kuwa pata tarehe 5, ikiwa ina bahati, sasa watacheza vipi na wenzao? wana kocha mpya na mfumo mpya? kuna haki kweli hapo, yaani wafanye mazoezi siku moja?
2) Hawa wachezaji, toka ligi iishe hawajapumzika vya kutosha, in fact, wanatakiwa angalau wapumzike wiki moja kabla ya kuungana na kalbu zao, miili yao imechoka, hata kimawazo, kweli tunategemea wafanye vizuri?
3) Kama TFF inajali kukuza kiwango cha timu, nakuomba uishauri na kuiunga mkono Yanga iwakilishwe na kikosi cha under 20, ili kuwapa fursa vijana na kujenga timu ya baadae, timu A, itawaharibia maandalizi ya ligi tu. CECAFA haina faida katika kukuza mpira kwa mwendu huu walioonyesha.