TFF tunzeni vipaji vinavoibuliwa katika mashindano mbalimbali kama rolling stone,copa coca cola,umiseta n.k kwa kuingiza timu ya vijana katika ligi kuu itasaidia kulinda vipaji na kuwakomaza madogo hili ndo pekee linaloendana na umaskini wetu.Wadau wa michezo ktk hili upi msimamo wenu?
mkuu hilo ni jukum la vilabu, sema vilabu vyetu viko busy na siasa badala ya kuendeleza mpira
sio hili tu komeka,jingine ni kuwa vilabu vyetu,hasa hivyo vinavyoitwa vikubwa wanachama wake hawana subira,wanataka ushindi wa leo leo,washinde makombe,wamfunge mpinzani wa jadi,basi hiyo tosha,ukiwaambia wawekeze kwa vijana (kama wanavyofanya Al ahly Misri) hawakuelewi,matokeo yake ni kusajili wageni walioiva tayari kwa kuwatafutia ushindi.
Mr President Malinzi
Nimesoma kwa masikitiko makubwa saana jinsi swala la Yanga kupeleka timu ya vijana lilivyokuwa handled na TFF baada ya maagizo ya katibu wa CECAFA, Mr MUSOKE.
1) Mashindano yamepangwa katika wakati mgumu, kwa timu washiriki
2) Kama nia na lengo ni kuibua wachezaji, sasa kosa la Ynga ni lipi?
3) Inamuhusu nini MUSOKE kusema haiwezekani Yanga ije na kocha mwingine?
Rejea yote haya, ni fedheha kubwa jinsi TFF ilivyolishughulikia hili swala.
Afisa wa TFF, aliyeshiriki kutoa uamuzi na kuwapeleka AZAM, anastahili kusimamishwa kazi au Ajiuzulu, haiwezekani ifike Musoke aanze kuamua jinsi ya uendeshaji na ujenzi wa soka katika taifa letu.
Hii ni aibu kwa nchi, wewe kama Rais wa TFF, onyesha kutokubali kuingiliwa katika masuala ambayo hayana sheria.
Ndala fc pelekeni timu kwenye mashindano acheni ujinga wenu!
EPL imeisha watu moja kwa moja wakaunganisha kujiunga na timu Zao za taifa kwenda world cup,
world cup imeisha wachezaji wamerudi moja kwa moja kwenda kwenye pre season kujiandaa na ligi wiki ijayo, hakuna mapumziko ni kazi tuu kwa kwenda mbelee!
Mkipewa muda wa kupumzika ndio yale yale ya ngassa kwenda kucheza film za ngono!
Kombe la kagame litumieni kufanya mazoezi!
cc komeka
Yombayomba
Jamali Malinzi
Malafyale
Nadhani hujui unachoongea au kuandika, unashangilia Taifa lako kuingiliwa katika miiko ya uongozi kisa wewe huipendi Yanga. Hapa swala si yanga ni udhaifu katika uongozi wa CECAFA.