omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,326
- 2,506
BASI LA TAIFA STARS LAKAMATWA KWA DENI LA SH MILIONI 140 LILILOACHWA NA TENGamuheshimiwa malinzi hivi tff unayoiongoza wewe nayo pia inatengenezewa tiketi na kampuni za nje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BASI LA TAIFA STARS LAKAMATWA KWA DENI LA SH MILIONI 140 LILILOACHWA NA TENGamuheshimiwa malinzi hivi tff unayoiongoza wewe nayo pia inatengenezewa tiketi na kampuni za nje?
muheshimiwa malinzi hivi tff unayoiongoza wewe nayo pia inatengenezewa tiketi na kampuni za nje?
Hana na hawezi kukupa...
Kifupi musonye alijua yanga ikienda kigali kamili ataweza.kupata watazamaji..wengi kule kigali yanga inapendwa rejea walivyochukua ubingwa walimpelekea kombe kagame...
Sasa cecafa wakajua kuwa kagame ya mwaka huu watapiga hela kupitia yanga...rayon..apr....rayon na apr zinapendwaa rwanda.. ukiongeza na yanga..viwanja vinge jaa...kutokuwepo kwa yanga ndio kapanic mkenya wa watu...bora aondoke..tu...
Haya tunasubiri majibu au tamko lako rasmiYombayomba inahitaji muda na utulivu kuingia kwenye ukurasa huu na kujibu hoja za wadau,wiki nne hizi TFF imekuwa na mechi nne za kimataifa senior na U17 home and away,na wiki nzima hii tuna ujumbe mzito wa FIFA,isitoshe nina shughuli zangu binafsi za kuniingizia kipato,muda nikiupata kama leo naingia na kujibu hoja,tuwe na subira na hakuna hoja naogopa kuijibu.Kusifiwa hakuniongezi tija,ni bora kukabiliana na changamoto.
Mgagaa na Upwa bila shaka hali wali mkavu,nipo ndugu yangu,tatizo shughuli kunibana.
Mr prezidaa tunahitaji majibu ya vigezo vilivyotumika kuitoa Yanga ktk mashindano ya kagame
sikupati nifafanulie jinsi ya kukupata
wakuu unajua musonye ana shida na yanga muda mrefu tu toka yanga walipokataa kuingiza timu kucheza na simba mwaka ule na kuanzia hapo amekua akiwaundia zengwe sana. pia tff bila kujua wameingizwa mkenge na wao wakaingia kama yanga ilikosea waliotakiwa kuwajibishwa ni tff kwa kuyapitisha majina hayo
Asante Mkuu kwa kunisoma, ningependa kuona jambo hili halipiti hivi hivi, viongozi wa TFF waliohusika katika hili wachukuliwe hatua. Siyo lazima wafutwe kazi wanaweza kuandikiwa barua za onyo kuonesha kuwa walichokifanya ni upumbavu mtupu.
Hili ni swali kutoka kwa mdau #mansoorsaid ameliuliza katika thread nyingine, nimelileta huku kwako mkuu. Lipo hivi
"J .Malinzi huwa unapita jf naomba jibu tff ni mwanachama wa fifa.je iweje tff iwe mwanachama wa chama ambacho sio mwanachama wa fifa? chama chenyewe ni cecafa
la pili yanga ilipeleka majina kwenda kagame cup na hayo majina tff mliyathibisha je hayo majina yalikuwa sahihi
tunaomba majibu ya kina"
hilo ki kweli mheshimiwa mi biinafsi nakuonea huruma sana jinsi unavyoendesha mpira kwny mazingira magumu km hya coz duniani kote vilabu ndyo vinanafanya timu ya taifa kuwa bora kwa mfano huwezi kuzungumzia mafanikio ya timu ya taifa ya ivory coast bila kuizunngumzia asec memosa vile vile huwez kuzungumzia mafanikio ya spain bila kuzungumzia Barcelona vile vile ujerumani na bayern Munich pamoja ghana na libety professional so utaona kwa staili hii ni ngumu kufikia mafanikio ya kweli ya kimpira ukichanganya na kukosa exposure na kutojjitambua kwa wachezajii wetu(rejea ishu ya kapombe na boban) ukichanganya na udhaifu Wa ligi yetu ( mechi chache sana 26?????) bado na rushwa na upangaji matokeo ndyooo kabsa soka letu liinazidi kuzama
Imezoeleka Tz kuwa ni kichwa cha wenda wazimu ktk soka na cha ajab zaidi Ukweli wa maneno haya bado timu za mpira zinauthibitisha.Licha ya jitihada kadhaa za TFF ,serikali,Vilabu na taasisi mbalimbali ktk kuibua vipaji vya vijana tatzo bado vipaji vinavopatikana haviendelezwe,nafkir tutaungana kuwa tatizo ni umaskini.Sasa bas mh. kunahaja ya kuwa na mifumo tofauti inayoendana na uhalisia ulivo sasa bas pendekezo langu ni hili,TFF UNDENI TIMU ZA VIJANA ZA KUDUM ANGALAU MBILI AU PENGINE HATA MOJA NA IINGIZENI KTK MIKIKI MIKIKI YA LIGI KUU pana faida nyingi za kufanya hivo.Au vp mzee wangu.
Malinzi,
Rejea habari za Yanga kukataliwa kupeleka timu ya vijana, nauomba uongozi wa TFF utoe ufafanuzi, ni wapi ilipoandikwa kuwa timu iwakilishwe na nani? Kama nia ni kukuza soka la ukanda huu, basi hii ni kitu cha ajabu saana, nia na dhamira ya Yanga ilitakiwa kuungwa mkono, kwani ilikuwa inatoa nafasi kuwajenga vijana kwa ajili ya baadae, ambayo ni faida kwa Yanga na Taifa stars. Pili imeandikwa kuwa MUSOKE ana uliza kwa nini Maximo haendi? Hivi ni busara kweli yeye apangie timu nanani awe mwalimu? Mbona hakuwapangia Harambee Stars mwalimu wa kuipeleka Lesotho? Kuna ubaya gani kwa Yanga kuanza kumjenga Nsajigwa kuwa kocha?
Kama sera yako ni kuinua vijana, imekuwaje TFF mkubaliane na kusalimu amri kwa kitu ambacho hakipo kwenye sheria? Huu ni udhaifu mkubwa mno, na wala hausaidii kujenga soka la CECAFA.
Jamali Malinzi
natamani kujua aina ya wadau..wafadhili na washirika wa karinu wa tff na mipango yao
mikataba ambayo iliingia tff..mikataba ambayo imeingia tff ..na mikataba ambayo itaingia tff katika kukuza soka letu
Jamal Malinzi mkimuachia Musonye wa CECAFA ipo siku atawaambia lzm team ya Tanzania inapocheza michuano fulani mkuu wa msafara awe Waziri Mkuu!
Kupeleka team B lilikuwa ni jambo la kuungwa mkono na kila mpenda michezo maana kwa sasa hawa akina Canavaro wamezeeka wawapishe vijana wapate uzoefu!!
Kama Rais wa soka la Tanzania ndiyo kauli ya Musonye haipingwi?
Malinzi,
Swali ni kuwa ni kipengele gani, ambacho hata kinalazimisha timu ipeleke kocha gani? Hivi mpira wa Tanzania utakuzwa na CECAFA?
TFF, ilitakiwa ionyeshe ukomavu, heshima ya nchi ilitakiwa kuwekwa mbele. Leo ni Yanga kesho tutaambiwa hata timu ya Taifa ije na nani./ Hata Azam, hawakuonyesha uzalendo, ni kitendo cha kipuuzi kufurahia kwenda wakati Taifa lako lina dhalilishwa.
Kama Musonye alikuwa hataki, tuanze kujenga timu ya mchanganyiko na vijan, kwani ni lazima timu za Tanzania zishiriki? kwa nini hatujifunzi uamuzi wa serikali kukataa kuendesha kwenye EAC?
Malinzi, hili swala ni sensitive, ukweli TFF, au kiongozi aliye handle kaishusha heshima ya Taifa letu, anatakiwa ajiuzulu.
Mheshimiwa Rais
Nina swali moja kwako
Naipenda sana nchi yangu, naipenda sana Timu ya Taifa langu, Naupenda mpira wa Tanzania
Tokea umeingia madarakan mambo yamekua mabaya zaid kwenye timu ya taifa, Sikumbuki kama Taifa Stars imewahi kushinda tokea uwe madaraka
Je Tatizo n nini?