komeka
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 1,072
- 403
TFF tunzeni vipaji vinavoibuliwa katika mashindano mbalimbali kama rolling stone,copa coca cola,umiseta n.k kwa kuingiza timu ya vijana katika ligi kuu itasaidia kulinda vipaji na kuwakomaza madogo hili ndo pekee linaloendana na umaskini wetu.Wadau wa michezo ktk hili upi msimamo wenu?
mkuu hilo ni jukum la vilabu, sema vilabu vyetu viko busy na siasa badala ya kuendeleza mpira