Maswali na ushauri kwa Malinzi

hawa Dama city toka somalia ni zaidi ya timu B...hamna kitu..pia mbn APR nayo imejaza makinda.. Makoye nimekusoma vzr
 
Last edited by a moderator:
J .Malinzi huwa unapita jf naomba jibu tff ni mwanachama wa fifa.je iweje tff iwe mwanachama wa chama ambacho sio mwanachama wa fifa? chama chenyewe ni cecafa
la pili yanga ilipeleka majina kwenda kagame cup na hayo majina tff mliyathibisha je hayo majina yalikuwa sahihi

tunaomba majibu ya kina
 
Kaka. Jamal Malinzi ana special thread kwa maswali. Nakuomba uifuate hiyo na umuulize tu. Hana shida kabisa atakujibu tu.
 
Hili ni swali kutoka kwa mdau #mansoorsaid ameliuliza katika thread nyingine, nimelileta huku kwako mkuu. Lipo hivi
"J .Malinzi huwa unapita jf naomba jibu tff ni mwanachama wa fifa.je iweje tff iwe mwanachama wa chama ambacho sio mwanachama wa fifa? chama chenyewe ni cecafa
la pili yanga ilipeleka majina kwenda kagame cup na hayo majina tff mliyathibisha je hayo majina yalikuwa sahihi

tunaomba majibu ya kina"
 
Mku hawezi kukupa majibu..cecafa wako kibiashara hasa mkenya musonye....jiulize wakati yanga inaondolewa ina maana tenga km mwenyekiti alikuwepo..sunday kayuni yuko kamati ya ufundi cecafa...hao wote walikua wapi?
 
hawa Dama city toka somalia ni zaidi ya timu B...hamna kitu..pia mbn APR nayo imejaza makinda.. Makoye nimekusoma vzr

Asante Mkuu kwa kunisoma, ningependa kuona jambo hili halipiti hivi hivi, viongozi wa TFF waliohusika katika hili wachukuliwe hatua. Siyo lazima wafutwe kazi wanaweza kuandikiwa barua za onyo kuonesha kuwa walichokifanya ni upumbavu mtupu.
 
Kwa kuongozea tu...tenga km mwenyekiti naye ameruhusu tu hili...kayuni ni mjumbe wa kamati tendaji naye kimya...ktk kagame hii APR inawachezaji karibu nusu nzima ni under 17 lkn wameruhusiwa..
 
Kwa kuongozea tu...tenga km mwenyekiti naye ameruhusu tu hili...kayuni ni mjumbe wa kamati tendaji naye kimya...ktk kagame hii APR inawachezaji karibu nusu nzima ni under 17 lkn wameruhusiwa..

wakuu unajua musonye ana shida na yanga muda mrefu tu toka yanga walipokataa kuingiza timu kucheza na simba mwaka ule na kuanzia hapo amekua akiwaundia zengwe sana. pia tff bila kujua wameingizwa mkenge na wao wakaingia kama yanga ilikosea waliotakiwa kuwajibishwa ni tff kwa kuyapitisha majina hayo
 
Kweli kbs..musonye haipendi yanga na anajionesha dhairi shairi..nasikia anaondoka mwaka huu
 
sikupati nifafanulie jinsi ya kukupata
 
Last edited by a moderator:
Kweli kbs..musonye haipendi yanga na anajionesha dhairi shairi..nasikia anaondoka mwaka huu

Let him go, let him go, let him go!...

Go go go Musonye, you have disliked our team for a long time, you better not only go out of CECAFA but to hell; the big uncircumcised Nyang'au.

CC. DE_GUZMANN (Your fellow Nyang'au deserves death).
 
Last edited by a moderator:
Mr prezidaa tunahitaji majibu ya vigezo vilivyotumika kuitoa Yanga ktk mashindano ya kagame
 
Mr prezidaa tunahitaji majibu ya vigezo vilivyotumika kuitoa Yanga ktk mashindano ya kagame

Hana na hawezi kukupa...
Kifupi musonye alijua yanga ikienda kigali kamili ataweza.kupata watazamaji..wengi kule kigali yanga inapendwa rejea walivyochukua ubingwa walimpelekea kombe kagame...

Sasa cecafa wakajua kuwa kagame ya mwaka huu watapiga hela kupitia yanga...rayon..apr....rayon na apr zinapendwaa rwanda.. ukiongeza na yanga..viwanja vinge jaa...kutokuwepo kwa yanga ndio kapanic mkenya wa watu...bora aondoke..tu...
 
Kuna umuhimu hii link kuwepo? moderator (Muheshimiwa Invisible) funga hii link, ni dhihaka na dharau ya juu kwa watu, huwezi kuwa unakuja kujibu ukishangiliwa tu kukiwa na swali kinyume una sepa. maendeleo huletwa na mawazo tofauti.
 
Last edited by a moderator:
Kuna umuhimu hii link kuwepo? moderator (Muheshimiwa Invisible) funga hii link, ni dhihaka na dharau ya juu kwa watu, huwezi kuwa unakuja kujibu ukishangiliwa tu kukiwa na swali kinyume una sepa. maendeleo huletwa na mawazo tofauti.

Siku zote viongozi uchwara hukimbia maswali yanayowa-challenge. Ona sasa huyu pimbi anayejiita rais kakimbia. Umesema kweli mkuu, hawezi kurudi hapa labda asaidiwe na wafuasi wake.
 
Last edited by a moderator:
muheshimiwa malinzi hivi tff unayoiongoza wewe nayo pia inatengenezewa tiketi na kampuni za nje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…