Jamal Malinzi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 710
- 650
- Thread starter
-
- #941
Acha kutusanifu mheshimiwa,hivi kweli nyie mna nia ya dhati na mpira wa Tanzania kweli? Tulikuwa na higher expectation toka kwako kumbe nawe ni walewale tu.Nitasikitika sana kama utataka tena kuongoza muhula mwingine.Umeprove failure kwenye soka.Anyway ulishawahi chezea hata timu ya darasa tu achilia mbali ya shule,angalau kwa shule ya msingi tu?
Nawe unaamini kuwa huu uzi upo kwa ajili ya kujenga soka letu,huu uzi ni ghiriba tu kutupoteza maboya sisi mashabiki wa mpira.Mpira wetu unaporomoka kama shilingi ya Tanzania
elezea wapi tumefeli na nini yalikuwa matarajio yako.Program zetu kwa kulingana na kipato cha TFF tumeziweka wazi na zinajulikana.U17 mwaka 2017 Madagascar tunaandaa kikosi sasa cha U15,U17 2019 fainali za Afrika tumeomba uenyeji na kikosi tunaanza na U13 June.Pia kila mkoa kuwa na youth program tumeanza.Sasa tumefeli nini?Kama ni mkakati wa muda mfupi ni maboresho Taifa stars na matunda mnayaona.
Hayo matunda yako wapi? Wengine tunaona miba tu, kila Taifa tars inapokanyaga inachomwa.
Hizo zingine zote ni porojo.
Ile turf uliyopeleka kwenu Kagera kwanini usiipeleke Mkwakwani au kwengine?
Na Mkandarasi ni yupi? ni yuleyule aliyeweka viwanja vingine kabla na mwenye uzoefu tayari au ni mtoto wa shangazi?
Jamal Malinzi kwanza nikupongeze kwa muda ambao umekaa madarakan manake toka ushinde sijawah kukupa hongera.
well nije kwenye swala langu la msingi,
1. majuzi nimeskia eti wantaka kukupindua umeshindwa kuendesha TFF na tuhuma kibao nikaorodheshewa. Jaman naomba nipe jibu kweli unakubaliana na hoja kwamba umeshindwa kuiongoza TFF?
2. JE ni kweli kwamba TFF imeshindwa kusimamia hali halisi ya uendeshwaji wa ligi hasa kipengele cha baadhi ya timu kuruhusiwa kuhujumu nyingine ili zife kisoka? simaanishi tuhuma dhidi ya Mbeya City manake mjuaj wa mpira atajua kwamba ile haikuwa timu bali ulingo wa siasa. mpira hauchezwi kwa kelele za makofi kama kwenye majukwaa ya siasa, mpira ni ufundi.
hapa naongelea timu nyingine ambazo ni nzuri hapa nchini lkn zinahujumiwa
ahasante sana kwa majibu yako mazuri japo nimebaki na maswali kibao@gfsowin Katiba zetu zimepunguza mianya ya wakorofi wachache kutibua utulivu kwenye vyama vya mpira.Ndio maana kipindi kile waliojaribu kumwondoa Mh Rage madarakani walikwama.
Hili la timu kuhujumiwa linahusisha upangaji matokeo yaani match fixing.Hili tunalipiga vita na likibainika adhabu ni wahusika kufungiwa maisha
Jamal Malinzi nasubiri hilo tamko kuwa mmekubali kagame cecafa ifanyike hapa niweke ushahidi wa aliosema musonye khs yanga na tz..pale sports view hotel kigali...na amahoro stadium...Kandukamo 1 wakimataifa Kipaji Halisi nini hasa kinaongelewa hapa? Lini TFF ilitoa tamko la kukubali ku host? Lini CECAFA walitoa orodha ya vilabu shiriki? maana wao ndo wenye mandate.Tuwe tuna deal na facts please.
ahasante sana kwa majibu yako mazuri japo nimebaki na maswali kibao
ngoja kwanza nije kaunta ya juu nikuambie tujadiliane
BTW unakubaliana na hoja kwamba wafadhili wa timu huwa wanahujumu timu pinzani?
mfano mimi ni mwanachama wa Yanga hadi Tibo (salam zangu kwake mwll wangu) analijua hilo. Ila sasa kuna dhana imejengeka miongoni mwa wapinzani wetu simba kwamba Manji nia yake ilikuwa kuiua timu ya simba na ndio mana kila mchezaj ambaye simba ilitaka kumsajili basi MANJI hutia mkono wake na kumchukua huyo mchezaj.
Simba wakaona njia sahihi kwao ni kwenda kuloga hivyo wale wachezaj wakitua yanga yaani wanakuwa ahawaeleweki na kiwango kile walichokuwa nacho kinakosekana tena.
mimi nilichojiuliza ivi ni kweli haya yanatokea? kama ndio nyie kama TFF na hasa wewe kama raisi unafanya nini kuhakikisha timu hazihujumiani, pili ushirikina kwenye mpira unakomeshwa?
nalisema la ushirikina kwasbb ninao uhakika mfano simba wako radhi waloge Yanga iendelee kuwa mteja wao lkn wao hawajal hata kama watafungwa na timu ya daraja 3.....................ushahidi wa huu ushirikina na waganga wao upo na najua unalijua hili. je wewe unalisemeaje hili?
Jamal Malinzi nasubiri hilo tamko kuwa mmekubali kagame cecafa ifanyike hapa niweke ushahidi wa aliosema musonye khs yanga na tz..pale sports view hotel kigali...na amahoro stadium...
Nakukubali sana rais..ila sipendi uyumbe wala uyumbishwe...
lito bro nimekumiss sana
Pia nimependa sana swali lako kwa Jamal Malinzi kuhusu kagame cup
Jamal Malinzi hivinTaifa Stars siku hizi ni Mzizima United?Taifa Stars yetu ni Team ya Mkoa wa Dar?Ili uchaguliwe team hii sasa ni lzm ucheze mpira Dar au uwe affiliated na team ya Dar?
Tumekuvumilia sana ww na huyu Mholanzi uliye mleta ambayo hajashinda hata game moja ya maana!Team yetu imekuwa team ya hovyo hovyo kabisa na mtasingizia kuwa hatumuingilii kocha!!
Amri Kiemba anaitwa Stars akafanye nn?U p u u zi mtupu team hii
Anaita wachezaji wazee wanaokaa benchi kina Kiemba, Cannavaro, Kazimoto, Dilunga hata Vitalisi Mayanga 19 years wa Stand hamjamuona? kamuntu wa Ruvu?
Stars siku hizi inachosha na haina mvuto wachezaji wale wale hawajitumi, wamefanya Stars kijiwe cha kupokea posho
Lakini mh J malinzi hebu utueleze kanuni iliotumika mchezaji Ajibu aliokuwa na adhabu ya kadi za njano na akapewa kibali kucheza leo mnakurupuka kumpa jery muro adhabu