Jamal Malinzi kwanza nikupongeze kwa muda ambao umekaa madarakan manake toka ushinde sijawah kukupa hongera.
well nije kwenye swala langu la msingi,
1. majuzi nimeskia eti wantaka kukupindua umeshindwa kuendesha TFF na tuhuma kibao nikaorodheshewa. Jaman naomba nipe jibu kweli unakubaliana na hoja kwamba umeshindwa kuiongoza TFF?
2. JE ni kweli kwamba TFF imeshindwa kusimamia hali halisi ya uendeshwaji wa ligi hasa kipengele cha baadhi ya timu kuruhusiwa kuhujumu nyingine ili zife kisoka? simaanishi tuhuma dhidi ya Mbeya City manake mjuaj wa mpira atajua kwamba ile haikuwa timu bali ulingo wa siasa. mpira hauchezwi kwa kelele za makofi kama kwenye majukwaa ya siasa, mpira ni ufundi.
hapa naongelea timu nyingine ambazo ni nzuri hapa nchini lkn zinahujumiwa