Maswali na ushauri kwa Malinzi

Mh.jamali hivi huoni kama mkurugenzi wako wa ufundi Sunday kayuni anamashiko kwa muda wote aliokaa tff na kwann utaki kumbadilisha au hakuna mtu mwingine anaefaa kushika nafasi hiyo?
 
Unalisemaaje swala la kocha wa timu ya taifa ikiwa katika michezo 16 kashinda mitatu mingine draw na kufungwa na nivigezo gani mnavyovifuata kumpata kocha wa timu ya taifa?maana kwa mtazamo wangu kwa kocha kama huyu tulienae nibora kumpa timu mzawa maana hamna chamaana alichotufanyia kama ikiwa hadi baadhi ya watu wa benchi mnawapata kwa dondo nasema hivi sababu niliona kwenye mechi na Malawi wakina salvatory Edward walipewa dondo kukaa kwenye benchi sasa nn maana ya kocha mzungu
 
Kwanini watanzania tunafanya mambo yetu kwa kukariri!!?
Hivi hakuna watu wengine wa kuwapa kutuongozea shirikisho letu la mpira tofaut na hao akina Nyamlani au Ndumbalo???


Kukariri huku ndiko kunakosabisha hadi leo nchi yetu izidi kuwa maskini kwa kudhani kuwa viongoz wanaofaa ni wa kutoka ccm tu!!

Wapo watu wenye weledi kabisa na mambo ya soka lakin hatuaamini kwa kudhani kuwa hawataweza kufanya kazi, tubadilike.

Malinzi kwa nin unatuangusha vijana wenzako!!! Mbona tulikuamini??? Au mwenzetu sio mtanzania mbona haujisikii uchungu timu yetu inapokula vichapo na vinchi kama swaziland na madagascar!??

Jamal Malinzi yapi yalikuwa malengo yako ya kuiongoza tff!!!
 
Sibonike engamu ja kokaja abha nfyamba!

Malinzi sababu jina lake lilikatwa na uongozi wa Mzee Tenga alihakikisha anawaondoa wote na kuwaweka watu wake watiifu kwake asilimia kubwa kutoka kabila lake !

Hamna lolote hadi sasa Jamal Malinzi anaweza sema anajivunia TFF kwa karibia miaka 2 sasa ya utawala wake
 
Last edited by a moderator:
[h=2]PROFIL[/h]
[TABLE="class: auflistung, width: 308"]
[TR]
[TH]Name in home country:[/TH]
[TD]Martinus Ignatius Nooij[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Date of birth:[/TH]
[TD]Jun 3, 1954[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Place of birth:[/TH]
[TD]Beverwijk [/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Age:[/TH]
[TD]60[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Nationality:[/TH]
[TD] Netherlands[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]ø term as coach:[/TH]
[TD]1,68 Years
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Punktschnitt als Trainer:[/TH]
[TD]0,96[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Success rate as coach:[/TH]
[TD]22,2 % Wins
29,6 % Draw
48,1 % Losses
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Preferred formation:[/TH]
[TD]4-4-2 diamond[/TD]
[/TR]
[/TABLE]




[h=2]APPOINTMENTS[/h]Share

0




This is an overview of the career of a manager.
Compact
Detailed



[TABLE="class: items, width: 677"]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Club[/TH]
[TH="class: zentriert, align: center"]Appointed[/TH]
[TH="class: zentriert, align: center"]In charge until[/TH]
[TH="class: rechts, align: right"]Function[/TH]
[TH="class: zentriert, align: center"]Matches[/TH]
[TH="class: rechts, align: right"]PPM[/TH]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="class: zentriert no-border-rechts, align: center"] [/TD]
[TD="class: hauptlink no-border-links"] Tanzania[/TD]
[TD="class: zentriert, align: center"]14/15 (Apr 25, 2014) [/TD]
[TD="class: zentriert, align: center"]expected - [/TD]
[TD="class: rechts, align: right"]Manager[/TD]
[TD="class: zentriert, align: center"]4[/TD]
[TD="class: rechts, align: right"]1,25[/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD="class: zentriert no-border-rechts, align: center"] [/TD]
[TD="class: hauptlink no-border-links"] Saint George SA[/TD]
[TD="class: zentriert, align: center"]13/14 (Nov 1, 2013) [/TD]
[TD="class: zentriert, align: center"]13/14 (Apr 23, 2014) [/TD]
[TD="class: rechts, align: right"]Manager[/TD]
[TD="class: zentriert, align: center"]-[/TD]
[TD="class: rechts, align: right"]-[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="class: zentriert no-border-rechts, align: center"] [/TD]
[TD="class: hauptlink no-border-links"] Santos FC[/TD]
[TD="class: zentriert, align: center"]11/12 (Apr 19, 2012) [/TD]
[TD="class: zentriert, align: center"]12/13 (Dec 18, 2012) [/TD]
[TD="class: rechts, align: right"]Manager[/TD]
[TD="class: zentriert, align: center"]2[/TD]
[TD="class: rechts, align: right"]2,00[/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD="class: zentriert no-border-rechts, align: center"] [/TD]
[TD="class: hauptlink no-border-links"] Mozambique[/TD]
[TD="class: zentriert, align: center"]07/08 (Feb 8, 2007) [/TD]
[TD="class: zentriert, align: center"]11/12 (Oct 12, 2011) [/TD]
[TD="class: rechts, align: right"]Manager[/TD]
[TD="class: zentriert, align: center"]20[/TD]
[TD="class: rechts, align: right"]0,80[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="class: zentriert no-border-rechts, align: center"] [/TD]
[TD="class: hauptlink no-border-links"] FC Volendam[/TD]
[TD="class: zentriert, align: center"]03/04 (Jan 1, 2004) [/TD]
[TD="class: zentriert, align: center"]03/04 (Jun 30, 2004) [/TD]
[TD="class: rechts, align: right"]Assistant coach[/TD]
[TD="class: zentriert, align: center"]-[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 


Malafyale Naloli ndigwa nfyamba. Tukutila ingwina mwa Kyela mmisi.

Miaka miwili sasa hamna lolote ni blunder mwanzo, mwisho. Badala ya kutumia hela kufanya ya maana, alienda kupanga ofisi Town Centre kwa gharama kubwa wakati ofisi zao Karume za bure zipo. Hilo tu linatosha kumng'oa.

Wakati mwingine natamani Tenga arudi!
 
Malinzi:
Kwa nini ulimwondoa KIM POULSEN? KWA NINI...!! KWA NINI...!! KWA NINI...!! KWA NINI...!! KWA NINI...!!

KIM alishaanza kuonyesha nuru ya Taifa Stars: alikuwa na mpango mzuri wa kuinua na kuendeleza vijana ili wapate uzoefu na kuisaidia T.Stars baadae ref: Domayo, Msuva, etc. Vilevile formation ya uchezaji wa Stars ilikua nzuri na inaeleweka..kumbuka mpira mkuwa Stars ilivyocheza na Morroco pamoja na Ivory Coast. Timu ilikuwa inajiamini. Hivyo KIM angepewa muda zaidi leo tungekuwa mbali..kumbuka pia alikuwa na kikosi B cha Stars ambacho kilifanya kikosi A kisibweteke kiuchezaji.

Sasa wewe umeingia madarakani na kuvuruga kabisa system nzuri uliyoikuta. Kwa nini huna uchungu na timu yetu ya taifa? Tanzania ni nchi kubwa Africa, tutafungwaje na kupelekeshwa puta na nchi kama Madagascar, Swaziland, na Burundi? Kitu gani tunakosa hapa wakati udhamini mnono upo? Technical leadership ndio inayokosekana katika hili.
Sasa haraka sana VUNJA MKATABA NA HUYO KOCHA WAKO FEKI kabla michuano ya CHAN na Afcon, it is better timu apewe mzawa kwa sasa e.g. Mkwasa
Vinginevyo kama wadau wengi walivyosema humu: hii timu na kocha wake tunakuachia wewe, na hata ikija Misri au NIgeria au Uganda kucheza sisi tutashangilia wageni au hutaona mtu uwanjani.

VILEVILE vunja kamati yako ya ufundi, hawana lolote wanalolifanya
 

Sibonike engamu nywamu fijo mwa Kyela ejo!Kokaja onee ko kwa Mbasi-Mwaja!

Niliwahi safiri na Taifa Stars kwenda kuiona Stars ikicheza na Senegal mashindano ya AFCON chini ya kocha Maximo,nikaenda tena kuiona Stars na Ivory Coast chini ya kocha Kim!Ulikuwa unaiona kabisa Stars yenye malengo,Stars yenye matumaini na Stars inayobadilika kila mechi!Stars yetu chini ya Tenga ilianza kusimama!

Kaja Malinzi na kocha wake huyu hata Mbeya City hawawezi mfunga Sokoine Stadium

Athman Nyamlani wasipo mzushia kesi kama Ndumbaro anamtoa huyu mpiga porojo Malinzi!Maneno mengi sana vitendo hamna
 

Hata azushe kesi kiasi gani atang'oka tu. Yale aliyokataa kufanyiwa yeye hadi akaenda FIFA ndiyo anawafanyia wenzake. Akiondoka na kesi ya au hukumu ya Ndumbaro inafutwa kama yeye alivyofuta hukumu alizokuta.
 
Yaani tusubiri hadi uchaguzi ujao? hivi wanachama wa TFF (waliomchagua Malinzi) hawawezi kumpigia kura ya kutokuwa na imani na Malinzi

Wana nguvu hiyo lkn wajumbe wenyewe kama akina Maggid Mjengwa unafikiri litafanyika la maana?PiaUsisahau kamati zote tendaji kaweka watu wa Bukoba!

Tusubiri uchaguzi ufike tumtoe
 

asilete uswahiba ktk kaz tz mambo mengi yanaharibika urafik mwingi
 

Nakumbuka mechi ya kufuzu CHAN pale Kampala chini ya Maximo,pamoja na fitina zao waganda lkn tulifuzu timu inacheza..timu unaiona kbs ina malengo...sio hii...tusibiri tu Misri atupige ndani na nje..kadhalika Nigeria..
 
Azam TV inawaumbua akina Jamal Malinzi maana sasa watz wenyewe tunajionea clear wachezaji wetu!Wanateua akina Bocco wachezaji wa majabu kabisa ambaye kila siku anaumwa!

Hamna MTZ anayefuatilia soka letu umuambie apange wachezaji bora TZ kwa sasa akamuacha Rahid Mandawa,Malima Busungu!Kuna beki yule wa Prison Lugano Mwangama na beki mmoja yule wa pembeni wa Mtibwa!Pia kuna kijana mmoja wa Kagera Sugar anatumia mguu wa kushoto!Hawa vijana wanajua sana soka sio haya mazee ya Malinzi

Lkn wao wanatuletea wachezaji vikongwe kabisa!
 
Kama Rais wa TFF anawaza hivi tutafika kweli?
 

Attachments

  • 1432226741400.jpg
    22.8 KB · Views: 162


ILINIUMA SANA siku ambayo MALINZI alivunja mkataba na KIM tena kwa mbwembwe eti `` mimi na wadau wangu tumetoa pesa mfukoni mwetu kumlipa KIM kwa kusitisha mkataba wake kwakuwa TFF niliyoikuta haikuacha hela ila madeni``

Mechi nyingi za Starz chini ya makocha mbalimbali nimehudhuria, ila KIM alikuwa mwalimu wa kweli. Mpira unaonekana na hata future ya Starz ilikuwa rahisi kutabirika.
MALINZI umetufelisha, kama ni chabo ya mtihani basi UMETULISHA TANGO PORIIIII..!!!!
 
Nakumbuka mechi ya kufuzu CHAN pale Kampala chini ya Maximo,pamoja na fitina zao waganda lkn tulifuzu timu inacheza..timu unaiona kbs ina malengo...sio hii...tusibiri tu Misri atupige ndani na nje..kadhalika Nigeria..
kama huyu kocha atabaki tutapitisha petition watu twende uwanjani kushangilia Nigeria na Egypt
 
Jamal Malinzi, heshima yako imeshuka sana!

Timu yetu ya Taifa imekua kama mgonjwa wa Malaria!

Au kama gari la mkaa, trip shamba trip garage!

Yaani ule mtiririko wa soka/mpira kutoka zone moja kwenda zone nyengine haupo!

Aibu sana!
 
Last edited by a moderator:
mnamshauri mtu ambaye ameanzisha huuu uzi siku ya mwisho kupita humu tarehe 12/05/2015 leo tarehe 21...... HAZIONI COMMENTS!!!! MNAJICHOSHAAAAAA...... KUONDOA STRESS NIMEAHAMIA UGANDA THE CRANES ..... MALINZI NI MkuuuuuunNdugu
 
Malinzi alionekana toka mwanzo hawezi kuongoza mpira! Anachoweza ni utapeli tu! Aliwatapeli waTZ wakadhani kweli anaweza kuongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…