Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini watanzania tunafanya mambo yetu kwa kukariri!!?Nyamlani na Ndumbaro watatuvusha ktk makando kando haya aliyo kuja nayo Malinzi!
Alihakikisha anaondoa kila mtu aliyekuwa upande wa Tenga sababu alikatwa jina kwenye mchujo!
Kulikuwa hakuna hata sababu moja ya kumuondoa yule kocha then kutuletea huyu kilaza!
Sibonike engamu ja kokaja abha nfyamba!Kosa kubwa alilifanya Jamal Malinzi ni kusafisha kila kitu TFF kana kwamba kulikuwa hakuna mazuri kwenye uongozi uliomtangulia.
Mbinu hiyo ni nadra kufanikiwa sehemu yoyote. Kuna watu alipaswa ku retain ili kuwepo ni mwendelezo wakati akitafuta kuweka watu au mipango yake. Aliondoa kamati zote za TFF.
Mbaya zaidi kila nikifikiri huwa sioni sababu ya kumwondoa Kim Poulsen. Angempa muda wakati anatafakari mipango yake ya baadaye. Hivi Nooj alikuwa na mafanikio gani Msumbiji?
Hivi siku Malinzi akiondoka TFF atafurahi mtu ajaye asafishe kila kitu na kila mtu kana kwamba hakuna zuri ataloacha?
[/TD]
[/TD]
[/TD]
[/TD]
[/TD]
Sibonike engamu ja kokaja abha nfyamba!
Malinzi sababu jina lake lilikatwa na uongozi wa Mzee Tenga alihakikisha anawaondoa wote na kuwaweka watu wake watiifu kwake asilimia kubwa kutoka kabila lake !
Hamna lolote hadi sasa Jamal Malinzi anaweza sema anajivunia TFF kwa karibia miaka 2 sasa ya utawala wake
Malafyale Naloli ndigwa nfyamba. Tukutila ingwina mwa Kyela mmisi.
Miaka miwili sasa hamna lolote ni blunder mwanzo, mwisho. Badala ya kutumia hela kufanya ya maana, alienda kupanga ofisi Town Centre kwa gharama kubwa wakati ofisi zao Karume za bure zipo. Hilo tu linatosha kumng'oa.
Wakati mwingine natamani Tenga arudi!
Sibonike engamu nywamu fijo mwa Kyela ejo!Kokaja onee ko kwa Mbasi=Mwaja!
Niliwahi safiri na Taifa Stars kwenda kuiona Stars ikicheza na Senegal mashindanomya AFCON chini ya kocha Maximo,nikaenda tena kuiona Stars na Ivory Coast chini ya kocha Kim!Ulikuwa unaiona kabisa Stars yenye malengo,Stars yenye matumaini na Stars inayobadilika kila mechi!Stars yetu chini ya Tenga ilianza kusimama!
Kaja Malinzi na mwehu wake huyu hata Mbeya City team ya Taifa haiwezi mfunga Sokoine Stadium
Athman Nyamlani wasipo mzushia kesi kama Ndumbaro anamtoa huyu mpiga porojo Malinzi!Maneno mengi sana vitendo hamna
Yaani tusubiri hadi uchaguzi ujao? hivi wanachama wa TFF (waliomchagua Malinzi) hawawezi kumpigia kura ya kutokuwa na imani na Malinzi
Majuzi Hollyman alifungua thread ya aina hii.Nia na lengo lake lilikuwa ni zuri,namshukuru.Nimeamua nifungue mwenyewe hii thread ili iwe ni uwanja wa kudumu wa kuniuliza maswali,kutaka ufafanuzi na pia kutoa ushauri kuhusu maendeleo ya mpira wetu.Kwa ruhusa ya moderators ninaomba uwe ni ukurasa wa kudumu hapa jf.
Jamal Malinzi
Rais wa TFF
Dar es salaam 04/Feb/2014
Sibonike engamu nywamu fijo mwa Kyela ejo!Kokaja onee ko kwa Mbasi-Mwaja!
Niliwahi safiri na Taifa Stars kwenda kuiona Stars ikicheza na Senegal mashindano ya AFCON chini ya kocha Maximo,nikaenda tena kuiona Stars na Ivory Coast chini ya kocha Kim!Ulikuwa unaiona kabisa Stars yenye malengo,Stars yenye matumaini na Stars inayobadilika kila mechi!Stars yetu chini ya Tenga ilianza kusimama!
Kaja Malinzi na kocha wake huyu hata Mbeya City hawawezi mfunga Sokoine Stadium
Athman Nyamlani wasipo mzushia kesi kama Ndumbaro anamtoa huyu mpiga porojo Malinzi!Maneno mengi sana vitendo hamna
Malinzi:
Kwa nini ulimwondoa KIM POULSEN? KWA NINI...!! KWA NINI...!! KWA NINI...!! KWA NINI...!! KWA NINI...!!
KIM alishaanza kuonyesha nuru ya Taifa Stars: alikuwa na mpango mzuri wa kuinua na kuendeleza vijana ili wapate uzoefu na kuisaidia T.Stars baadae ref: Domayo, Msuva, etc. Vilevile formation ya uchezaji wa Stars ilikua nzuri na inaeleweka..kumbuka mpira mkuwa Stars ilivyocheza na Morroco pamoja na Ivory Coast. Timu ilikuwa inajiamini. Hivyo KIM angepewa muda zaidi leo tungekuwa mbali..kumbuka pia alikuwa na kikosi B cha Stars ambacho kilifanya kikosi A kisibweteke kiuchezaji.
Sasa wewe umeingia madarakani na kuvuruga kabisa system nzuri uliyoikuta. Kwa nini huna uchungu na timu yetu ya taifa? Tanzania ni nchi kubwa Africa, tutafungwaje na kupelekeshwa puta na nchi kama Madagascar, Swaziland, na Burundi? Kitu gani tunakosa hapa wakati udhamini mnono upo? Technical leadership ndio inayokosekana katika hili.
Sasa haraka sana VUNJA MKATABA NA HUYO KOCHA WAKO FEKI kabla michuano ya CHAN na Afcon, it is better timu apewe mzawa kwa sasa e.g. Mkwasa
Vinginevyo kama wadau wengi walivyosema humu: hii timu na kocha wake tunakuachia wewe, na hata ikija Misri au NIgeria au Uganda kucheza sisi tutashangilia wageni au hutaona mtu uwanjani.
VILEVILE vunja kamati yako ya ufundi, hawana lolote wanalolifanya
kama huyu kocha atabaki tutapitisha petition watu twende uwanjani kushangilia Nigeria na EgyptNakumbuka mechi ya kufuzu CHAN pale Kampala chini ya Maximo,pamoja na fitina zao waganda lkn tulifuzu timu inacheza..timu unaiona kbs ina malengo...sio hii...tusibiri tu Misri atupige ndani na nje..kadhalika Nigeria..