Malinzi mzee wa hekima hakosolewi huyu, sasa tunasuburi tuone mwsho wake, uongozi mbovu, timu mbovu, mipango mibovu alafu atakuja na majibu rahisi kama mlenda kilaza mkubwa huyu
Malinzi Malinzi kwanini ulimtoa Kim?....
Ile timu ilikuwa inavutia kuangalia pasi..tik Taka kama Barcelona. Siielewi Malinzi alikula Maharage ya Wapi kumfukuza Kim?
Hizo laana ha ubaguzi zimewarudi.
Na Bocco kawalima kwamba viongozi TFF hamna.
Yaaani tumetoka bila points. Nakumbuka timu ya Kim ilivyokuwa Nzuri.Burundi Rwanda tulikuwa tunajipigia.
Football ilikuwa Bomba.
This is what we get from Jamal Malinzi !Nilipo mchachamalia alipo teua ndugu zake tu TFF wengi hamkunielewa lkn sasa mnanielewa!
Juzi kaandika twita kama Taifa Stars imeboreka sana sababu games zote zinaonyeshwa live,ona sasa madudu aliyo andika leo!
Nilisafiri kwenda kuona Stars ugenini Senegal na baadae Ivory Coast kwa kweli Stars ya Maximo na Kim iliacha gumzo huko kwa soka la hali ya juu!
Tanzania kupitia kwa Jamal Malinzi tulipiga kura yetu kwa mla rushwa mkubwa Sepp BlatterFBI wakimalizana na FIFA waje TFF kumchunguza huyu homeboy mushaija.