wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
kama mm malinzi ningetangaza timu hiyo makocha wazawa na wandishi wa habari simamieni timu tff tulipa gharama za timu mkishindwa muirudishe tff
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama huyu kocha atabaki tutapitisha petition watu twende uwanjani kushangilia Nigeria na Egypt
Jamal Malinzi angeamua tu kutuachia timu yetu. Hapa shida ni uongozi na si kocha. Hata hao akina Boniface na Moroco watapata shida tu. Hapa wanapewa timu ili TFF waje kusema si mmeona wazawa wameshindwa!kufanya vibaya kwa timu yetu ya taifa mimi naona chanzo ni uwongozi mbovu wa Jamali Malinzi,kwasababu ukirudisha nyuma kumbukumbu nyuma kipindi cha Tenga ilikuwa na kauwene tulikuwa tunaotea kidogo,yote ilitokana na mikakati aliyokuwa akiiweka bwana Tenga kuendeleza soka la letu lkn kwa Malinzi ni tabu tupu hakuna mipando ya kuendeleza soka letu
Amepoteza sifa???
Ni lini alishawahi kuwa na sifa mpaka azipoteze???
Mpira wa Tanzania Umejaa SIASA nyingi,hatutaki kuwekeza ktk soka,ona AZAM wanachokifanya sasa na kupitia kwao ilitakiwa tupate funzo,lakini wapi mchawi aliyeturoga kafa na tunguri zake
Ni wapi katika Tanzania hii ambako siasa haitamalaki? Kuanzia kwa machinga mpaka kanisani. Ndio maana nikasema tunahitaji kiongozi mwenye dhamira ya kweli ya kufufua soka letu. Tenga alianza vizuri, lakini kama ilivyo desturi yetu kaja Malinzi na kufuta kila alichokifanya Tenga na kuleta mfumo wake. Kwa mwendo huu kila siku tutakuwa tunajenga msingi na kubomoa.
Hivi Jamali MALINZI, hudhani kwamba kama unashindwa kufikia mafanikio ya mtangulizi wako (achilia mbali kuyazidi) ni uzembe, na kwamba kujiuzulu nako ni sehemu ya uwajibikaji? Embu jipime na uone kama unatosha kuongoza TFF.
Jamal Malinzi angeamua tu kutuachia timu yetu. Hapa shida ni uongozi na si kocha. Hata hao akina Boniface na Moroco watapata shida tu. Hapa wanapewa timu ili TFF waje kusema si mmeona wazawa wameshindwa!
Timu kushindwa namna hiyo inatakiwa viongozi wawajibike tu hakuna kingine. Nilipata uchungu sana kusikia eti tumefungwa na Swaziland yenye watu 1.4 million tu huku tukiwa na watu zaidi ya 45 million!
Malinzi tutendee haki
Mkuu unafahamu wajibu wa TFF katika soka la Tanzania? Na pia kama unafahamu kwamba Malinzi ndiye kiongozi wa TFF basi utafahamu kwa nini Malinzi alaumiwe.mnakosea mnapomlaum malinzi peke yake khs suala la maendeleo ya time yetu ya taifa hebu jiulize vilabu vyetu pendwa vimefanya nini kusaidia mpira wetu?kumbuka vilabu pia vina nafasi kubwa kufanya time ya taifa iwe bora rejea ishu ya Spain na kuwa ba wachezaji wengi kutoka LA masia.....sasa jiulize LA masia ye2 iko wapi? ikiwa timu zetu hta viwanja vya mazoezi hawana?
Tff imenifurahisha jana tu...ile NGAO waliopewa yanga