Maswali na ushauri kwa Malinzi

Maswali na ushauri kwa Malinzi

Kwa haya matokeo ya COSAFA yanavyoendelea Boss MALINZI na NOOIJ wako kiukweli mnabeba lawama zote za kufeli kwa starz. Ulimuondoa KIM POULSEN baada ya kuingia madarakani ktk harakati zako za kusafisha mabaki yalioachwa na mtangulizi wako, Tenga!!
Malinzi katika hili nilikulaumu waziwazi kwa posts zangu nilizokutumia, KIM bado alikuwa anahitajika. Tangu alivokuwa akiikochi timu ya vijana nuru ya Starz ya kesho ilikuwa ikionekana!!!

Umetuletea Nooij ameprove failure na kwahilo MALINZI NAWE UMEPROVE FAILURE!!!

Timu limejaa players wale wale, NO FUTURE FOR OUR STARZ.

TUONDOLEE NOOIJ. HATUMTAKIIIIIIII.....!!!
 
Hakuna kocha mwenye akili timamu akamuacha mchezaji kama RASHID MANDAWA na MALIMA BUSUNGU!Hawa chipukizi nimewaona games 5 kwa kuwafuatilia wanajua sana!Lkn huyu chizi aliyetuletea Malinzi anaachwa ateue apendavyo!

Kocha mwe hu huyu

MI nahisi Kuna rushwa! Toka kwa kocha kwenda TFF Ili aendelee kuchota mshahara mnono! Na Kuna rushwa toka kwa wachezaji kwenda kwa kocha Ili wachaguliwe, msimu Kuna vijana wameonesha uwezo wameachwa badili yake anaita Wasilla benchi kina Dida, Boko, kiemba nk. Anyway Kati ya Kamuntu na Bocco nani Ana magoli mengi VPL
 
Malinzi unatakiwa kufanya maamuzi magumu kwenye hii Taifa Stars
 
mimi namshauri ndugu yangu j malinzi tumuombe puljin atusaidie timu ya taifa na msaidizi awe mexime
 
jamaa atakumbukwa kwakubadilisha jezi za taifa stars and why the heck ulimfukuza poulsen,yule m norway alikuwa na afadhali kuliko huyu ----- anayeita wachezaji majeruhi na wakaa benchi
shame on you,we ni mtanzania kweli?au umeingia hapo Tff ili kuiharibu team yetu?
 
njia yakufikisha ujumbe ni kususa kwenda kuangalia hilo li team la kocha fake mwenye madharau au kwenda na kuwashangilia Nigeria na Misri watakapoangusha kiama kwa timu ya kina john boko...hahahahahahahahahaaaaa
 
Mabadiliko yapo njiani!
Uchaguzi ujao Athman Nyamlani Rais wa TFF na Dr Ndumbaro Katibu mkuu
Jamal Malinzi hamna lolote
Ndumbalo awe katibu wa tff!!! mmmmmh hapa tz tumekosa watu wa kutuongozea taasisi zetu, hivi unategemea nin siku ndumbalo akija kuwa katibu mkuu wa tff??

Ila yote kwa yote Malinzi tumekuchoka fanya maamuz magumu ulinusuru soka letu.
 
Last edited by a moderator:
Ndumbalo awe katibu wa tff!!! mmmmmh hapa tz tumekosa watu wa kutuongozea taasisi zetu, hivi unategemea nin siku ndumbalo akija kuwa katibu mkuu wa tff??

Ila yote kwa yote Malinzi tumekuchoka fanya maamuz magumu ulinusuru soka letu.

Nyamlani na Ndumbaro watatuvusha ktk makando kando haya aliyo kuja nayo Malinzi!

Alihakikisha anaondoa kila mtu aliyekuwa upande wa Tenga sababu alikatwa jina kwenye mchujo!

Kulikuwa hakuna hata sababu moja ya kumuondoa yule kocha then kutuletea huyu kilaza!
 
njia yakufikisha ujumbe ni kususa kwenda kuangalia hilo li team la kocha fake mwenye madharau au kwenda na kuwashangilia Nigeria na Misri watakapoangusha kiama kwa timu ya kina john boko...hahahahahahahahahaaaaa

TZ vs Pharaoh
TZ vs Nigeria
Unaenda uwanjani kuona nn labda?Kuona rasta za Kiemba au?Team mwaka wa pili sasa wa Malinzi uharo mtupu
 
Naona TFF inalichukulia poa!! suala la timu ya Taifa, tangia nazaliwa hadi leo Taifa Stars haijawi kunifurahisha kivile!! leo kicheko kesho kipigo. timu inadema dema TFF wako tu wanakenua, na hao wadhamini wa Taifa Stars wajitoe tu.... unatangaza nini kwa loosers!!.
Afu!! maana ya hiyo combine yao ya maboresho ni nini! si wangewapeleka huko hao maboresho! wameng'ang'ania kupunguza idadi ya wageni kwenye ligi! haya vijana wako wameonekana tena nchi nzima kupitia azam tv. Leo mnakuja kutupeleka maveterani kwenda kutuwakilisha asee!!
 
Ndumbalo awe katibu wa tff!!! mmmmmh hapa tz tumekosa watu wa kutuongozea taasisi zetu, hivi unategemea nin siku ndumbalo akija kuwa katibu mkuu wa tff??

Ila yote kwa yote Malinzi tumekuchoka fanya maamuz magumu ulinusuru soka letu.

Kuna wachezaji wa zamani ambao wanaweza kusaidia soka letu,huu sio wakati wa kuleta wafanyabiashara kuendelea kuharibu soka yetu
 
Yaani tusubiri hadi uchaguzi ujao? hivi wanachama wa TFF (waliomchagua Malinzi) hawawezi kumpigia kura ya kutokuwa na imani na Malinzi

Kura ya kutokua na iman naye..alitaka kufanya Ndumbaro..kilichomkuta unajua
 
He will be fired thru the ballot box na siku siyo mbali sana aisee!

Kocha kamleta hata Mbeya City hawezi fundisha huyu,hana mbinu yyt na ndiyo maana Mozambique walimfukuza mapema tu


Kosa kubwa alilifanya Jamal Malinzi ni kusafisha kila kitu TFF kana kwamba kulikuwa hakuna mazuri kwenye uongozi uliomtangulia.

Mbinu hiyo ni nadra kufanikiwa sehemu yoyote. Kuna watu alipaswa ku retain ili kuwepo ni mwendelezo wakati akitafuta kuweka watu au mipango yake. Aliondoa kamati zote za TFF.

Mbaya zaidi kila nikifikiri huwa sioni sababu ya kumwondoa Kim Poulsen. Angempa muda wakati anatafakari mipango yake ya baadaye. Hivi Nooj alikuwa na mafanikio gani Msumbiji?

Hivi siku Malinzi akiondoka TFF atafurahi mtu ajaye asafishe kila kitu na kila mtu kana kwamba hakuna zuri ataloacha?
 
Back
Top Bottom