tyc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,179
- 2,971
Kwa haya matokeo ya COSAFA yanavyoendelea Boss MALINZI na NOOIJ wako kiukweli mnabeba lawama zote za kufeli kwa starz. Ulimuondoa KIM POULSEN baada ya kuingia madarakani ktk harakati zako za kusafisha mabaki yalioachwa na mtangulizi wako, Tenga!!
Malinzi katika hili nilikulaumu waziwazi kwa posts zangu nilizokutumia, KIM bado alikuwa anahitajika. Tangu alivokuwa akiikochi timu ya vijana nuru ya Starz ya kesho ilikuwa ikionekana!!!
Umetuletea Nooij ameprove failure na kwahilo MALINZI NAWE UMEPROVE FAILURE!!!
Timu limejaa players wale wale, NO FUTURE FOR OUR STARZ.
TUONDOLEE NOOIJ. HATUMTAKIIIIIIII.....!!!