Maswali Tata Wamasai wa Loliondo kutibiwa Kenya

Hao wamerudi kwao kutibiwa. Ushauri wa bure kwao, waendelee kubakia huko huko maana zama zimebadirika. Hakuna tena kufanya Ngorongoro kama sehemu ya machungo yenu. Jifunzeni kukubaliana na mabadiliko. Wenzenu wa upande wa Tanzania sasa wako kila kona ya nchi na wanaendelea na shughuli zao kama kawaida. Nanyi huko kenya mnaweza kwenda kule turkana au hata mombasa mkaendelee na uchungaji mifugo yenu.
Nyambaf!
 
1655291596297.png
 
MASWALI TATA WAMASAI WA LOLIONDO KUTIBIWA KENYA.

Wakati kukiendelea na sintofahamu ya wanaharakati kutuhumiwa kutumika kushirikiana na viongozi wa eneo jirani linalopakana na Loliondo kuhamasisha vurugu kushambulia polisi waliokuwa wakilinda mpaka na kusimamia wanaoweka Beacons kiasi Cha kupelekea Askari mmoja kufariki kwa kupigwa na mshale,

Mapya yamezidi kuibuka baada ya kuonekana kwa picha za baadhi ya wanaodaiwa kuwa ni majeruhi wakiwa hospitali nchini Kenya.

Katika hali isiyoelezeka ni kwa namna gani majeruhi hao wameweza kuvuka mpaka na kuingia kenya kutibiwa?.

Kama hakukuwa na mpango maalum iliwezekanaje watu hawa kusafirishwa kwa siri na kupelekwa hospital nchini humo?.

Je hospital za huko zinawasajili kama Watanzania ama wakenya?... Kama zinawasajili kama watanzania je wamepata rufaa kutoka Tanzania?.

Taarifa za uhakika ambazo chombo chetu inazi zinasema kuwa kuna mkakati wa makusudi wa majirani zetu kufanya kila jitihada kudhoofisha utalii wa Tanzania hasa wakilenga kanda ya kaskazini

Taarifa zaidi zinasema hii inachagizwa zaidi na hofu ya kupoteza kwao ushawishi kunakotokana na umashughuli unaoongezeka siku hadi siku hasa baada ya kuzinduliwa kwa filamu ya Royal Tour.

Hizi propaganda za kitoto bado huwa mnaletea watu?
 
Kenya wako mbele kwa kila kitu.

Weka picha ya hosp ya hapo loliondo tulinganishe.
Sio kweli acha hii kasumba Kenya huduma za afya na muziki walishakubali kuiachia Tanzania,Hospitali za Tanzania ni bora kuliko za Kenya na wakenya wengi wa mipakani hutibiwa hospitali za Tanzania,Nenda KCMC utakuta Lundo la Wakenya wanahitaji huduma
 
MASWALI TATA WAMASAI WA LOLIONDO KUTIBIWA KENYA.

Wakati kukiendelea na sintofahamu ya wanaharakati kutuhumiwa kutumika kushirikiana na viongozi wa eneo jirani linalopakana na Loliondo kuhamasisha vurugu kushambulia polisi waliokuwa wakilinda mpaka na kusimamia wanaoweka Beacons kiasi Cha kupelekea Askari mmoja kufariki kwa kupigwa na mshale,

Mapya yamezidi kuibuka baada ya kuonekana kwa picha za baadhi ya wanaodaiwa kuwa ni majeruhi wakiwa hospitali nchini Kenya.

Katika hali isiyoelezeka ni kwa namna gani majeruhi hao wameweza kuvuka mpaka na kuingia kenya kutibiwa?.

Kama hakukuwa na mpango maalum iliwezekanaje watu hawa kusafirishwa kwa siri na kupelekwa hospital nchini humo?.

Je hospital za huko zinawasajili kama Watanzania ama wakenya?... Kama zinawasajili kama watanzania je wamepata rufaa kutoka Tanzania?.

Taarifa za uhakika ambazo chombo chetu inazi zinasema kuwa kuna mkakati wa makusudi wa majirani zetu kufanya kila jitihada kudhoofisha utalii wa Tanzania hasa wakilenga kanda ya kaskazini

Taarifa zaidi zinasema hii inachagizwa zaidi na hofu ya kupoteza kwao ushawishi kunakotokana na umashughuli unaoongezeka siku hadi siku hasa baada ya kuzinduliwa kwa filamu ya Royal Tour.
Chama Cha Mawakili Wa Kenya (The Law Society Of Kenya) Kimefungua Kesi Ya Dharura International Court Of Justice (ICJ) Kupinga Wamasai Kuondolewa Kwa Nguvu Ngorongoro, wakati TLS Ya Hoseah Inasema Kama Wamasai Wanamalalamiko Wakatoe Taarifa Polisi.
 
Back
Top Bottom