Maswali Tata Wamasai wa Loliondo kutibiwa Kenya

Nyambaf!
 

Hizi propaganda za kitoto bado huwa mnaletea watu?
 
Kenya wako mbele kwa kila kitu.

Weka picha ya hosp ya hapo loliondo tulinganishe.
Sio kweli acha hii kasumba Kenya huduma za afya na muziki walishakubali kuiachia Tanzania,Hospitali za Tanzania ni bora kuliko za Kenya na wakenya wengi wa mipakani hutibiwa hospitali za Tanzania,Nenda KCMC utakuta Lundo la Wakenya wanahitaji huduma
 
Chama Cha Mawakili Wa Kenya (The Law Society Of Kenya) Kimefungua Kesi Ya Dharura International Court Of Justice (ICJ) Kupinga Wamasai Kuondolewa Kwa Nguvu Ngorongoro, wakati TLS Ya Hoseah Inasema Kama Wamasai Wanamalalamiko Wakatoe Taarifa Polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…