Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,607
- 4,263
Siyo Kweli Mkuu.Hesabu Itakuwa Kama Ifuatavyo,
Idadi Ya ndege=x
nusu ya ndege watakaoongezwa=(1/2)x
hivyo, idadi ya ndege waliopo mtini JUMLISHA nusu ya ndege watakaongezwa JUMLISHA na yeye mwenyewe jibu ndio linakuwa 100
=> x +(1/2)x +1=100
tafuta thamani ya x,
(1+(1/2))x + 1=100
=>(3/2)x + 1=100
toa 1 kila upande,
(3/2)x +1-1=100-1
=>(3/2)x =99
zidisha kwa 2 kila upande,
2(3/2)x=99 X 2
3x=198
gawanya kwa tatu kila upande,
3x/3 = 198/3
hivyo x =66
kwa hiyo idadi ya ndege waliopo mtini ni 66.
1/2x+1=100 imekuwakuwaje hadi ikawa vile kama kwenye red.
Achana na huyo, jibu sasa kwa upande wako mkuu.
Si ndio ameshajibu pale juu wewe ukamwuliza swali ambalo haukutakiwa kumwuliza yeye?