Maswali ya darasa la saba ambayo sitayasahau?

Maswali ya darasa la saba ambayo sitayasahau?

Siyo Kweli Mkuu.Hesabu Itakuwa Kama Ifuatavyo,
Idadi Ya ndege=x
nusu ya ndege watakaoongezwa=(1/2)x
hivyo, idadi ya ndege waliopo mtini JUMLISHA nusu ya ndege watakaongezwa JUMLISHA na yeye mwenyewe jibu ndio linakuwa 100
=> x +(1/2)x +1=100
tafuta thamani ya x,
(1+(1/2))x + 1=100
=>(3/2)x + 1=100
toa 1 kila upande,
(3/2)x +1-1=100-1
=>(3/2)x =99
zidisha kwa 2 kila upande,
2(3/2)x=99 X 2
3x=198
gawanya kwa tatu kila upande,
3x/3 = 198/3
hivyo x =66
kwa hiyo idadi ya ndege waliopo mtini ni 66.

1/2x+1=100 imekuwakuwaje hadi ikawa vile kama kwenye red.

Achana na huyo, jibu sasa kwa upande wako mkuu.

Si ndio ameshajibu pale juu wewe ukamwuliza swali ambalo haukutakiwa kumwuliza yeye?
 
Kama ndege wako 66 ina maana ukileta nusu yao, yani 33, ndege watakuwa 99, hawatafika ndege 100.

Hujasoma vizuri swali na kulielewa. Unachukua idadi yao (66), ongeza nusu yao (33) ongeza na yeye mwenyewe (1). Kwa hiyo inakuwa 66+33+1=100
 
Siyo Kweli Mkuu.Hesabu Itakuwa Kama Ifuatavyo,
Idadi Ya ndege=x
nusu ya ndege watakaoongezwa=(1/2)x
hivyo, idadi ya ndege waliopo mtini JUMLISHA nusu ya ndege watakaongezwa JUMLISHA na yeye mwenyewe jibu ndio linakuwa 100
=> x +(1/2)x +1=100
tafuta thamani ya x,
(1+(1/2))x + 1=100
=>(3/2)x + 1=100
toa 1 kila upande,
(3/2)x +1-1=100-1
=>(3/2)x =99
zidisha kwa 2 kila upande,
2(3/2)x=99 X 2
3x=198
gawanya kwa tatu kila upande,
3x/3 = 198/3
hivyo x =66
kwa hiyo idadi ya ndege waliopo mtini ni 66.

66+33+1=100
 
Hujasoma vizuri swali na kulielewa. Unachukua idadi yao (66), ongeza nusu yao (33) ongeza na yeye mwenyewe (1). Kwa hiyo inakuwa 66+33+1=100

yap! this's the answer.
 
Siyo Kweli Mkuu.Hesabu Itakuwa Kama Ifuatavyo,
Idadi Ya ndege=x
nusu ya ndege watakaoongezwa=(1/2)x
hivyo, idadi ya ndege waliopo mtini JUMLISHA nusu ya ndege watakaongezwa JUMLISHA na yeye mwenyewe jibu ndio linakuwa 100
=> x +(1/2)x +1=100
tafuta thamani ya x,
(1+(1/2))x + 1=100
=>(3/2)x + 1=100
toa 1 kila upande,
(3/2)x +1-1=100-1
=>(3/2)x =99
zidisha kwa 2 kila upande,
2(3/2)x=99 X 2
3x=198
gawanya kwa tatu kila upande,
3x/3 = 198/3
hivyo x =66
kwa hiyo idadi ya ndege waliopo mtini ni 66.

Sawa! 66+nusu ya 66 +1 yaani: 66+33+1! Kumbuka Ndege wako 66,nusu yao ni 33,ukijumlisha na binadamu 1 ni hivi: 66+33+1=100
 
Hili Swali liko ambigous sana. "Ukileta nusu yetu ukijumuika na wewe ndiyo tutakuwa miamoja, je?" Ukijumulisha nini na nini? Nusu ya ndege na Wewe au Sis, Nusu ya ndege na wewe?
 
Back
Top Bottom