Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchumi grade 2 jua Macroeconomics and Microeconomics, Anza na zile za Ambilikile 1&2 , pia soma research utakuwa umemaliza, especially hakikisha kozi zako za first Year semester ya kwanza za economics yaani 116 & 117 umezijuaUzi mzuri, pia na mchumi grade 2, maswali yakoje kuna watu walifanyaga usaili tutor, na taasisi zingine
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Asante mkuu kwa muongozoUchumi grade 2 jua Macroeconomics and Microeconomics,Anza na zile za Ambilikile 1&2 ,pia soma research utakuwa umemaliza, especially hakikisha kozi zako za first Year semester ya kwanza za economics yaani 116 & 117 umezijua
Naona hapa cheti Cha career eti kime expireTayari
Ikawe heri kiongoziHaya turudi kwenye mikando tena.
Wenye uzoefu na hizi interview kada ya NAOT tupeni muongozo please
Amina mkuu tuombeane.Ikawe heri kiongozi
Waliowahi kufanya hizi interview za NAOT wanapaswa kutupa muongozo.Naona wadau wako kimya
Wadau inabidi wafungukeWaliowahi kufanya hizi interview za NAOT wanapaswa kutupa muongozo.
Kwenye Archieves za PSRS inaonekana mwaka 2020, interview ya NAOT iliwahi kufanyika, hao wadau inabidi watie neno hapa ili tujue pa kuanzia.
Hata hivyo ngoja nianze na Job descriptions, nijichimbe job description moja baada ya nyingine naweza kuokota dodo ndani ya ukumbi wa CBLS siku ya Mkando