Maswali ya interview NAOT na HESLB

Maswali ya interview NAOT na HESLB

Uzi mzuri, pia na mchumi grade 2, maswali yakoje kuna watu walifanyaga usaili tutor, na taasisi zingine

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Uchumi grade 2 jua Macroeconomics and Microeconomics, Anza na zile za Ambilikile 1&2 , pia soma research utakuwa umemaliza, especially hakikisha kozi zako za first Year semester ya kwanza za economics yaani 116 & 117 umezijua
 
Ni matumaini yangu Ndugu KYAGATA utajiandaa vizuri kwa USAILI huu, kuna siku mlijibizana na jamaa fulani humu lakini lengo lake lilikuwa ni kukushauri upunguze pressure na lawama dhidi ya Sekretarieti.

Ulivyofanya leo ni sahihi kuomba mtu mwenye any idea na USAILI husika. Ni vizuri kuvuta subira kwa kila nafasi zinazotangazwa na Sekretarieti ya Ajira kuliko kujaza lawama dhidi ya Sekretarieti JF, HAISAIDII!!!

Nakuomba jiandae vizuri, ukafanye vizuri USAILI huo ili upate kazi, kumbuka subira yavuta heri, Mungu ni Mwema utafanikiwa
 
Haya turudi kwenye mikando tena.

Wenye uzoefu na hizi interview kada ya NAOT tupeni muongozo please
 
Naona wadau wako kimya
Waliowahi kufanya hizi interview za NAOT wanapaswa kutupa muongozo.

Kwenye Archieves za PSRS inaonekana mwaka 2020, interview ya NAOT iliwahi kufanyika, hao wadau inabidi watie neno hapa ili tujue pa kuanzia.

Hata hivyo ngoja nianze na Job descriptions, nijichimbe job description moja baada ya nyingine naweza kuokota dodo ndani ya ukumbi wa CBLS siku ya Mkando
 
Wadau inabidi wafunguke
 
Back
Top Bottom