[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ningekuwa auditor notes kama zote yani unameza zote halafu unawasubiri utumishi wajilete
😂😂😂😂Hiyo counter attack nilipigwa pura nikaona nimeudhalilisha jina la ukoo bure Bora ile nauli ningekula pisi za Riverside tu au chako ni chako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mara paap umepigwa counter attack na madude yako kichwani ukaishia kusema ajali kazini kama Mandonga
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo counter attack nilipigwa pura nikaona nimeudhalilisha jina la ukoo bure Bora ile nauli ningekula pisi za Riverside tu au chako ni chako
Wenye uzoefu mtujuze job description huwa zina mahusiano ya mojakwamoja na written au tubet tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Job description ukifika oral utalikuta hilo swaliWenye uzoefu mtujuze job description huwa zina mahusiano ya mojakwamoja na written au tubet tu
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Zisome mkuu wakati mwingine wanatoaga kwenye writtenWenye uzoefu mtujuze job description huwa zina mahusiano ya mojakwamoja na written au tubet tu
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mara chache sana.Wenye uzoefu mtujuze job description huwa zina mahusiano ya mojakwamoja na written au tubet tu
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona unapiga kwa miguu yote kama Pele.
Sawa mkuu ngoja niishi humo humo.
Kuna hii Guideline nayo sio haba, naokoteza viconcept pia.View attachment 2396806
Hii hapa mkuuNaipataje hii mkuu
Washaita baadhi, kama hiyo kada haipo ujue bado haijaitwaHivi economist MDA & LGA wameita
Hii hapa mkuu
Hizimwenye tangazo la kazi la HESLB naomba atume nisome roles za Loan officer walizoweka
Bado hawajaita jambo la muhimu ni kuwa na subra huku ukiendelea kujifua.Hivi economist MDA & LGA wameita
Tupe maswali sasa kama Ilikua nyepesiUtumishi wajitahidi kutoa paper ngumu ngumu kidogo ,,madogo wanafurahia Sana paper wanasema lilikuwa simple sana
Hakunaga paper rahisi au nyepesi that's why ikaitwa paper cha muhimu nikuomba Mungu abless kadri ya majibu na maswali yalivyokuwa ili ipatikane njia ya oral.Utumishi wajitahidi kutoa paper ngumu ngumu kidogo ,,madogo wanafurahia Sana paper wanasema lilikuwa simple sana
Matokeo yatashangaza...Utumishi wajitahidi kutoa paper ngumu ngumu kidogo ,,madogo wanafurahia Sana paper wanasema lilikuwa simple sana