Maswali ya interview NAOT na HESLB

Sas yule dada alisahu kuandika namba yake ya mtihan alkuw anawaza nn akawa anatuchelwesh kusepa LT 2 half sijapend ule utaratib wao wa kusign out
 
Hivi kwa harakaharaka jumla ya watu waliofanya ile pepa ya HESLB ni kama wangapi
Jumla ya venue zilizofanyika kufanya usahili ni ngapi?
 
Sas yule dada alisahu kuandika namba yake ya mtihan alkuw anawaza nn akawa anatuchelwesh kusepa LT 2 half sijapend ule utaratib wao wa kusign out
Hataree kusign out wanatumia muda mrefu sana aixee.. mkisha saini wanahesabu tena. Pepa ni dk 40 ila kina masaa mawili ya ukaguzi na ku sign
 
Hebu naomba maswali yake mzee
Aisee mawili ya ki NAOT yalikuwa marefu sana ..

Moja madhani linataka basis za communication when auditing somebody.

Pili nadhani linataka sijui how to conduct professional judgement..

Nimeyaachia apo apo sijataka niyakumbuke mana sioni future yake
 
Hawakutoa yaliyobase kwenye geology?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…