Orosso
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 949
- 2,284
Hawa vijana wa miaka 20 iliyopita nafasi za kazi ziliwafata, na hata sahili zao hazikua na mambo mengi kama tunavyoshuhudia sasa.Hiki kizazi shida sana,kila kitu mnataka,kamserereko!sasa ukionyeshwa maswali,huo utakuwa usahili au utumbo?
Miaka 20 iliyopita hakukuwa na smart phones,Wala mitandao ya kijamii,simu ndio zilikuwa zinaingia?
Sasa mnafikiri sie baba zenu,tulifsnya vipi usahili bila hayo madesa?maana kulikuwa hakuna jinsi ya kupata desa,ni mpaka muonane na mtu,mawasiliano yalikuwa magumu sana!nicmwendo wa kutafutana manually.
Mara nyingi hujiona kizazi kamilifu sana.